Zenji kwanuka

Kayinga junior

Senior Member
Feb 19, 2012
152
7
Kikundi kimoja kimechoma kanisa,nyumba na magari kisa muungano FAROUQ KALIM atoa ufafanuzi badae itv na redio1
 
wakafie hukooo...wengi wa hawa viongozi wa uamsho si viongozi wakidini...viongozi wa kidini wanapoongoza harakati zao kwa staili hii ujue hamna kitu hapo...ndo maana nchi nyingine hawataki kabisa hawa jamaa
 
Hali ni tete! kutokana na habari nilizopata sasa hivi huko Zanzibar; biashara zote zimefungwa, mtaani kumejaa moshi wa matairi, shughuli za usafir zimesitshwa, hakuna watu wanaotembea. Yanayotokea Zanzibar leo yana mizizi mirefu sana, kwa bahati mbaya, mizizi hiyo imefika hata hjuku Bara. UKIONA MOSHI, 'UJUE KUNA MOTO'. Tulizani maridhiano yameweka mambo sawa, kumbe yamekuwa mbolea kukuza UHASAMA. Mungu ibariki Tanzania.....
 
Back
Top Bottom