Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani leo juma ngapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pastor Achachanda, May 27, 2012.

 1. Pastor Achachanda

  Pastor Achachanda JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 2,340
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 180
  Watukufu wanajamii.Nikiwa peramiho,kuna watu wanatoka kanisani na wanaulizana swali hilo juu.Wanajamii, Imewahi kutokea?
   
 2. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 665
  Trophy Points: 280
  Maisha magumu, watu tumechanganyikiwa!
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,413
  Likes Received: 2,230
  Trophy Points: 280
  Pastor Achachanda
  haujawaambia waumini kuwa siku ya ibada inaitwa ni siku gani mkuu.
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umewafanyia mental assessment? Wanaweza wakawa wagonjwa wa akili au walevi.
   
 5. M

  Mama Bhoke Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  umesema sana mkuu
   
Loading...