Shibuda: Upinzani ni sawa na chokoraa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Shibuda amesema kwamba upinzani ni sawa na Chokoraa,,,,,,,
mie yangu macho na maskio tu.

Sosi:nipashe
 
'Shibuda' tunaomba tafsiri ya jina lake, linaweza kuwa linaendana na matendo yake, i doubt its, sory his IQ
 
Matatizo ya kushobokea vilabu vya watoto kama maisha club, sasa anaongea kama kinda hana sera!

Alichotumwa hakufaulu cdm gado!lol
 
Nadhani hakutarajia hapo alipofikia. Huyu staili Yake huyu ilikua ubalozi wa nyumba mbili
 
kwa tafsiri ya wanyiha wa kule mbozi mbeya neno'shibuda'linamaana ya muuaji.Sasa kama hii ni tafsiri sahihi basi shibuda na kauri zake zinaonyesha jinsi alivyokukuwa amenuia kuua upinzani ila sasa ameshindwa ananza kuweweseka dawa yake ni kumpuuza kama mh:Samweli Sitta alivyo mpuuza DAMU K.malima.
 
Mbona hamna mpya hapa maana kwajinsi alivyoanza hizo propaganda zake nilitegemea zaidi sasa hii naona kumbe hana cha zaidi
 
Shibuda yuko sahihi kabisa, nani asiyejua kuwa CCM ni upinzani?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom