Kukosekana huduma yamaji msasani, mikocheni, kawe.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukosekana huduma yamaji msasani, mikocheni, kawe..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpenda pombe, May 27, 2012.

 1. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wadau leo ni siku ya tano, hakuna maji, wala tone kwenye mabomba yetu, na sijasikia tamko lolote la DAWASCO.. Kiukweli hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida wa maeneo haya.. Tafadhali DAWASCO tupeni taarifa rasmi ili nikitu gani kimejiri, kwami maji ni muhimu kwa maisha ya kila siku kwa binadamu..
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yaani soo ndugu yangu...ila na sisi uvumilivu wetu unatuponza...!
   
 3. Q

  Qixima mQiqa Senior Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona jana nasikia yalitoka kidogo?
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hali ni mbaya sana.. Watu wapole sana.. Jana hayajatoka kbisaa..
   
 5. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dah...afadhali kamvua kananyesha tuvune maji...!
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Wametunyima maji eti ndio mbinu ya ccm kutufanya tusiende kwenye mkutano wa Chadema; wakatuzimia na umeme siku ya mkutano ili watu wasione NYOMI ya chadema pale jangwani; hawa magamba ni washenzi sana !!
   
 7. S

  Shansila Senior Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayajatoka siku 5?ninyi mnadeka kweli,wakati cc cjawahi kabisa kuyaona yatoke tangu 2009 walipoweka mabomba.
   
Loading...