Kwenu Viongozi wa CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenu Viongozi wa CHADEMA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkereketwa_Huyu, May 27, 2012.

 1. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Kwa hali inayojionyesha hivi sasa ni kwamba CCM inaelekea ukingoni kusambaratika na jeneza lao linapigwa randa ili wazikwe in 2015. Kwa mtaji huu, wale viongozi walafi na wanafiki wa CCM watakuja kuhamia Chadema ili kuwavuruga au la waje kutafuta ulaji. Tafadhali viongozi wa Chadema, msiwakubali wana CCM (viongozi) kuja Chadema. Wanajua watakosa kura za kutosha in 2015, hivyo mbinu za kuwa-destabilize wanaanza sasa!
   
 2. A

  Activist p Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisaaaa!
   
Loading...