Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jumapili hii MARY NAGU alikuwa mgeni rasmi kwa ajili pia ya kuwaaga wahitimu mbalimbali, katika kumkaribisha ASKOFU ALISEMA MAMA HUYO NI MTU SAFI NA MWADILIFU NA MCHAPA KAZI kwa kuwa amejumuishwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi!,wapenzi wa CHADEMA,na wasio wapenzi,.... Binafsi ntakua mchoyo nisipo/nikichelewa kusema kwamba "CHADEMA nakupenda kwa moyo wangu wote" Najua upo kwenye wakati...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa mwenye kujua palipo na viwanja vya michezo hapa jijini ,Michezo mbali mbali na kuogelea ikiwamo , kwa ajili ya watoto umri wa miaka 6 - 12 with coaching, ningependa watumie...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Nina uchungu mkubwa kuona kwamba mheshimiwa Mengi anakubali kutangazwa tangazo lakulazimisha ngono litangazwe kwenye kituo chake cha itv. Mheshimiwa , mimi nakuamini kwamba una heshima na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Princeware Africa Ltd ni miongoni mwa viwanda vya wahindi vinavyojishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya majumbani vya plastic kikiwa barabara ya Nyerere pale stendi ya Kipawa. Ktk kiwanda hiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkenya Antony ngoo na mwanaye Davisi antony ngoo wamekwenda kwa waziri wamambo ya ndani na mtoto wa mzindakaya ambaye anafanya kazi uhamiaji nakufanikiwa kubadili uwamuzi wa waziri...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
ITV pekee, nawapa big up. Tumewapata Live, tunahitaji kujifunza mengi toka chama pekee cha ukweli cha upinzani Tanzania. Tunatengemea kupata mengi live.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tuko hilo limetokea huko nchini Tanzania katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msichana aliingia na jamaa jana usiku kwenye nyumba hiyo ya wageni kwa nia ya kuchukua chumba na kulala...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu licha ya kwamba Kampuni ya simu za mkononi Airtel ni sehemu ya Wateja wa JF lakini huu wizi waliounza sasa hivi is unacceptable in any circumstance. Kila MwanaJF anayetumia modem ya airtel...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sebodo awepewa kibali cha kujenga car park kubwa na ya kisasa Mtaa wa india,Dsm. Mapato yote ya miaka kumi ya mwanzo ya tapelekwa kujengea visima vijijini.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu DPP amefariki dunia jana katika hospitali ya Regency, sos;mwananchi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu, tatizo la umeme linaloikabili nchi yetu ni "man made" yaani ni la kutengenezwa na wanadamu. Katika mkutano kati ya waziri mpya wa Nishati na Madini na wafanyakazi wa TANESCO...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Labda ni mzazi wako ama mke/mume au hata mtoto anakwambia NIKIFA NATAKA NICHOMWE MOTO! Naam nimesikia hiyo wiki hii! Mzee mmoja huko Marangu naskia aliamua kuchomwa moto akifa. Na ndivyo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
BY JOSEPH MCHEKADONA 27th May 2012 Chinese contractors in the country have said the government has not completed paying a Sh400 billion outstanding debt, and they have asked the government to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salam Jf! Kwa ukweli mnaweza kunishangaa nitakapokiri hapa kuwa sijui kazi wanazofanya watu/watumishi walioajiriwa na wizara/idara ya maji. Hivi kazi zao nini? Kwa mfano Dsm pale makao makuu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ningeomba makamo wa Raisi Galib Bilal atuombe radhi vijana wa leo kwa kutuita .com.Nikisikia kwa masikio muda mfupi uliopita katika Taarifa ya habari ya ITV mida huu ,alisema vijana waleo .com...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello Jf fellows...! In Life we will or have already encountered different people, different personalities, and some of which that are ugly ones. I know that personalities and our traits makes us...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, mtakumbuka kuwa last tuesday ITV ilionesha baadhi ya wsnanchi wa jimbo la Ukonga, mtaa wa mazizini wakilalamikia ubovu wa barabara itokayo ukonga mombasa kwenda moshi bar kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JK kupitia chama chake ametoa msaada wa shilingi milioni kumi kwa wamachinga wa Mwanza, lakini cha kushangaza hilo fungu limeanza kufanyiwa mchakato kwa watu ambao si wamachinga bali ni ndugu na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom