MAjuma machache yaliyopita niliwahi kuuliza "BARA INAFAIDIKA NINI NA MUUNGANO HUU KIASI KWAMBA ZANZIBAR WANATUMIA MAFANIKIO HAYO AMBAYO BARA INASEMEKANA INAYAPATA TOKA ZANZIBARI KUWA KIGEZO KIKUU...
haya yanayotokea leo hii zanzibar ni matokeo ya sitofahamu iliyokuwepo muda mrefu kuhusu huu muungano alafu leo ambapo tunapata hiyo fursa ya kutaka kujua eti wanatuambia hatutakiwi kuujadili...
Hawa ndio aina ya viongozi tulionao, makamu wa Rais anazindua vitabu vya Yusuf Makamba wakati wazanzibar wanatafuta pa kukimbilia kuficha uhai wa maisha yao, hakuna kiongozi wa kitaifa kasema...
Rashid Salim Adiy na wenzako,
KUH: OMBI LA HOJA YA
KUWEPO KURA YA MAONI
JUU YA SUALA LA
MUUNGANO WA TANZANIA
Nimetakiwa na Mheshimiwa
Spika wa Baraza la wawakilishi
la
zanzibar niwajulishe...
Kauli tata zilizowahi kutolewa na naibu katibu mkuu CUF zanzibar kuhusu Muungano, na baadae suala la kushindwa kwa CUF uchaguzi jimbo za Uzini, ambapo ndg Ismai Jussa, akifafanua matokeo hayo...
Habari zenyu bana,Natumaini kwa uwezo wake manani, tuko salama. Pia napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole watanzania wote waliofikwa na masaibu ya kunyanyaswa huko visiwani kwa kuwa tu wao ni...
Picha za Simba anayekufa kwa njaa na maumivu kwa kunyongwa na nyaya za Majangili ndani ya Hifadhi moja ya wanyama hapa Tanzania zimeishtua Dunia.
Picha hizi zilizoonyeshwa majuzi katika Mtandao...
Peeepz Power. Tuna shida ya maji karibu mwezi mzima hakuna lolote mnaloongea kwenye Press, Kuna maana gani ya Dawasco kuwepo kama maji hatupati. Tuanhitaji maji ya Bomba na sio siasa.
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake...
Wana jamvi wenzangu!
Leo niwe muwazi katika hili binafs nachukia na nakeleka sana na hoja yoyote ile inayotaja inayohusisha UDINI,kiuweli nisikiapo mtu anaongelea kwa wale wa dini fran,sisi dini...
Mtu mmoja amekutwa nyumbani kwake akiwa amekufa baada yakuchinjwa shingo. Arusha kijenge mtaa wa kashmir polisi wamefika wameuchukua mwili wa marehemu kuupeleka hospital ya mkoa maunt meru r i p
nimekuwa nikiamini katika urithishwaji wa mawazo, tamaduni n.k. kuna methali inasema mtoto wa nyoka ni nyoka..Haya mambo yanayotokea leo Zanzibar hayajaanza leo,historia yake inadhihilishwa na...
Wadai vyombo vingi vya Tanzania bara vimejiegmeza zaidi ktk udini badala uhalisia.
Wanasema hii kutokana na vyombo hivyo wahariri na wakuu wake ni wa dini fulani.
wamesema Vyombo vingi vya...
Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini, Stanslaus Boniface Makulilo (44) Jembe, amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam...
Kuna ajali mbaya ya basi imetokea katikati ya Aljaezira na Mikumi. Basi liliacha njia na kuelekea pembeni ambapo limejigeuza na matairi kuwa juu. Majeruhi ni wengi na nimeshuhudia maiti moja ikiwa...
Ajali imetokea asubuhi hii kwenye makutanao ya barabara ya changombe na mandela.Iinasemekana hizo mpya taa Inasemekana taa hizo mpya ziliwaka kwa siku mbili.(Michuzi blog)
Katika hali isiyo ya kawaida jasilia mali Tanzania ni adhabu kubwa kwa wa Tanzania jambo ambalo ni tofati na nchi nyingine, ni jambo la kushangaza kwa nchi kama Tanzania ambayo ina zaidi ya watu...