Ajali kwenye taa za changombe.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Ajali imetokea asubuhi hii kwenye makutanao ya barabara ya changombe na mandela.Iinasemekana hizo mpya taa Inasemekana taa hizo mpya ziliwaka kwa siku mbili.(Michuzi blog)

blogger-image--357953098.jpg

blogger-image-466489949.jpg
 
hizi taa, kuanzia za uhasibu, chang'ombe na buguruni zimewekwa mapambo....mbaya zaidi malori ndo njia yake kuu.......

Sijui wahusika wana mpango gani, labda wako kwenye mkakati wa kupunguza idadi ya watu.....
 
Back
Top Bottom