Siku muungano kati ya bara na zanzibari ukifa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku muungano kati ya bara na zanzibari ukifa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kuti kavu, May 29, 2012.

 1. kuti kavu

  kuti kavu Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  MAjuma machache yaliyopita niliwahi kuuliza "BARA INAFAIDIKA NINI NA MUUNGANO HUU KIASI KWAMBA ZANZIBAR WANATUMIA MAFANIKIO HAYO AMBAYO BARA INASEMEKANA INAYAPATA TOKA ZANZIBARI KUWA KIGEZO KIKUU CHA KUTAKA KUUVUNJA HUU MUUNGANO?"

  Swali hilo halikupatiwa jibu lililonyooka na hivyo nikabaki na wasi wasi kuwa kuna ajenda ya siri kwa wazanzibari na hasa inayonuka harufu ya CHUKI na UHASAMA na zaidi zaidi WIVU juu ya WATAGANYIKA ambao umoja wetu na mafanikio yetu kiduchu tumeyapata kwa kuvuja jasho sana na SIO KIULAINI LAINI KAMA WAZENJI BARI WANAVYOAMINI!

  MATUKIO YA SIKU HIZI MBILI TATU ZILIZOPITA NDIO hatimae yameniPA JAWABU TOSHA LA KWA NINI WAZANZIBARI WAMEKUWA WAKIPIGA KELELE KUVUNJIKA KWA MUUNGANO KULIKO HATA KUPIGA KELELE KUHUSU KASHFA ZA UFISADI ambazo zimekuwa zikiliingiza taifa letu katika umasikini wa kutupa...Jibu hili nimelipata baada ya kushudia WAZENJI BARI WAKICHOMA MOTO MAKANISA!; WAKICHOMA MOTO SEHEMU ZA STAREHE (BAA); na KUPIGA KELELE ZA KUWAFUKUZA WATANGANYIKA TOKA VISIWANI eti ikiwa ndo njia yao (WAZENJIBARI) kudai haki yao katika mchakato mzima wa kuondolewa kero za muungano kikatiba.

  Kuna watu wenye hekima zao walishawahi kusema "UKIONA NDEGE ANATEMBEA kama BATA na anatoa mlio kama wa BATA basi kaa ukijua huyo ndege sio KUKU bali ni BATA"!...kupitia haya matukio ni wazi tunajionea nini ambacho kinawakera waZANZIBARI, na chuki yao kuhusu muuungano ni kuwa NDANI YA MUUNGANO INAWAWIA VIGUMU KUPIGA MARUFUKU MAKANISA; SEHEMU ZA STAREHE NA KUPORA MALI KIDUCHU ZA WATANGANYIKA WANAOISHI VISIWANI HUMO.

  NA HIL LIMENIpelekea kuamini kuwa siku MUUNGANO MAMBO YA AWALI WAZANZIBARI kuYAfanya YAtakuwa:

  1. KUVunja na kuPIGA maRUFUKU sehemu zote za starehe zikiwemo BAA!

  2. KUVUNJA MAKANISA NA KUPIGA MARUFUKU UKRISTO ZANZIBAri

  3. KUWATIMUA WABARA WOTE ZANZIBARI (kwa kuwa wana amini umasikini wao hautokani na UVIVU WAO BALI unasababishwa na wabara)

  ....UkiNIULIZA mimi nitakujibu bila wasi wasi "wakati umefika tuwaruhusu waenDE"!!! katika dunia hii ambayo maendeleo yanakuja kwa kufanya kazi na kujituma SIONI TIJA YA KUENDELEA KUUNGANA NA WATU AMBAO WAKO TAYARI KUJENGA CHUKI NA WENZAO WA RANGI MOJA KISA wana TOFAUTIANA KIIMANI.
   
 2. a

  abu alfauzaan Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanini wacyajenge kwao ayo mabaa na makanisa?
  na wayachome 2
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu umemaliza kazi...tatizo liko hapo hapo kwenye bold/Red....Ze comedy waliwaita mdebwedo wakalaumiwa...lakini tatizo liko hapo...si wavivu wa kazi peke yake bali hata kufikiri ni tabu.
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  wewe kwenu wapi??
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  zanzibar si wenzetu na hawajawahi kuwa wenzetu kwani ni watu wenye imani na misaada zaidi ya kujitegemea.
  tulipoungana nao tukawalazimisha kufanya kazi,wanekasirika wanatumiwa na madalali kutoka arabuni kuja kutuchonganisha.
  wazanzibar kwa sababu za kitamaduni na kiimani wameingia mkenge wa akina jusa.
  wakae wakijua bara hawana cha kupoteza,hakuna wanachoyegemea kutoka visiwani bali ni maslahi muflis ya ccm.
  bara tuna kila kitu tuna ardhi ya kutosha na wala hatuna tishio la kuzama baharini kwa nchi yetu hata miaka milioni 100.
  tuwaachie viswa vyao wasubiri halua na tende kutoka uarabuni.
   
 6. M

  Mwakyonde JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bora waende tu hawa jamaa kabla hawajaanza kuwaficha Al-Shabab kwenye vibanda vyao. Mimi nikadhani watanzania tupo kwenye vita ya Ufisadi na kutokomeza umasikini Hawa retards wao wana vita na Ukristo.
   
Loading...