Vitabu vya Makamba sr. hawa ni wageni waalkwa uwiano umekaaje? Toa Maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu vya Makamba sr. hawa ni wageni waalkwa uwiano umekaaje? Toa Maoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jungumawe, May 28, 2012.

 1. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,816
  Trophy Points: 280
  Uwiano wa jinsia, umri, kabila, dini, rangi, au uwiano gani?
   
 3. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Natumaini content ya kitabu hicho inawahusu hao waliohudhuria
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Inawahusu nanni kisiasa au kidini,maana kuna nguo za kidini na kisiasa?
   
 5. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Uwiano wa kofia, kanzu, ushungi na mavazi ya kawaida au? Sijakuewela bado
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uwiano uonesha content ya kitabu ita kuwa ya kidini sababu mkao wa utengano katika ya wanaume na wanawake.
   
 7. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama ni content ya kidini then amepata the right crowd
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wamependeza.
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hi Juzuu inazinduliwa?
   
 10. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Kisitumike shule zetu za msingi,akitumie kwenye Madrasa.Make aliisha suka mchongo wa kula chenji ya rada kwa kutumia kitabu chake
   
 11. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  wakuu fuatilieni hii habari maana itv walisema kuwa hivi vitabu vimeshakubaliwa na vimeingizwa kwenye mitahala ya shule za msingi ambapo vitatumika kuanzia darasa la V - VII (darasa la tano mpaka saba). Na pale miongoni mwa waliokuwepo ni Nyambari Nyamgwine, kwa hiyo msishangae hivi vicheko vyenu vikaishia kwenye vilio maana sina uhakika ni taasisi gani iliyo hakiki na kuthibitisha kuwa hivi vitabu vinaweza kujenga vision za watoto wetu.
  Kikubwa hapa ni kuwa watu wako kwenye biashara maana zikichapwa nakala milioni 2,000,000 na nimeona wanasema bei yake ni 5,000/- @ nakala!

   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  ndio....
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  wakipeleke madrasa huko..kwanza hakuna mwenye nakala yake?
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwenye kudai uwiano wa kila kitu, ukimaliza hapa nenda kwenye msafara wa CHADEMA kusini, 99.99% ni wakristo utadhani ni kikindi cha kwaya cha kanisa! kha!
   
 15. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  duh kumbe ni vya shule ya msingi...! Makubwa
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Halafu utegemee uelewa na ufaulu wa watoto kwa staili hizi??/
   
 17. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  naona mitandao ya magazaeti iliyopost habari hiyo hawajaelezea vizuri hilo na naendelea kufuatilia, lakini walioangalia ITV jana watakuwa waliona, ilisemwa vizuri. Atakayewahi kupata taarifa kamili atuwekee hapa

   
 18. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee YMakamba amlitania na kusema auze vitabu ili apate ugali, vodacom pesa imeisha au?????
   
 19. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kwa huu mwendo, hakika huwezi kutabiri mwelekeo!
   
 20. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,290
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  huwa unawauliza dini zao? ishara gani hukupa 99% ni wakristo?

  Hapo kwenye huo mkutano ishara ya mavazi, na walivyokaa kwa kujitenga wanawake kwa waume, inaonesha wazi hao ni waislam na wazindua juzuu!
   
Loading...