wizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by senetor mageja, May 29, 2012.

 1. s

  senetor mageja New Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi nikwel kwamba kila kiongoz aliyepata mafanikio ni mwizi au amehujumu uchumi wa nchi yetu? nini mawazo yako juu ya mtazamo huu.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Nyerere alifanikiwa sana, sidhani kama aliiba, Jery Lawrings alifanikiwa sana, sidhani kama ilikwia, Nelson Mandera alifanikiwa sana , sidhani kama alikwiba.
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akiwa ni Gamba lazima awe mwizi.:crazy:
   
Loading...