Dawasco mmeshindwa kazi ya kutuletea maji?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawasco mmeshindwa kazi ya kutuletea maji??????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Ubwete, May 28, 2012.

 1. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Peeepz Power. Tuna shida ya maji karibu mwezi mzima hakuna lolote mnaloongea kwenye Press, Kuna maana gani ya Dawasco kuwepo kama maji hatupati. Tuanhitaji maji ya Bomba na sio siasa.
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Target yako ni wapi hasa!! Peeepz Powa au Dawasco???? ishu ya Dawasco ni skendo usiichanganye na mambo mengine ya kupotosha wachangiaji.
   
 3. l

  lycan Senior Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kasema power sio powa
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Washindwe mara ngapi, chimba kisima.
   
Loading...