Mimi nachukia hoja za udini Je!wewe katika maisha unachukia hoja gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi nachukia hoja za udini Je!wewe katika maisha unachukia hoja gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ruhazwe JR, May 28, 2012.

 1. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana jamvi wenzangu!
  Leo niwe muwazi katika hili binafs nachukia na nakeleka sana na hoja yoyote ile inayotaja inayohusisha UDINI,kiuweli nisikiapo mtu anaongelea kwa wale wa dini fran,sisi dini frani, huwa napata wakati mgumu hata kama ni ofsni huwa nasingizia naumwa na kuondoka
  Ni kweli nachukia ubaguzi wowote ule,uwe wa kikabila,kijinsia,kitabaka,kiuchumi,lakini nachukia sana mpaka huwa naaugua kichwa ninapo sikia hoja inayolenga kwa namna yoyote ile ki-dini SIPENDI KABISA.
  Je wewe mwanajamvi mwenzangu hupendi ni katika swala la ubaguzi?
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja.
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Mie nachukia sana siasa hasa hizi za vyama vingi. Watu hujufungia ndani na kuweka mikakati ya kuchafuana na kufitiniana daima. Utadhani sii wa taifa moja. Yaani nachukia kweli.
  .
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu hata mimi udini huwa unaniudhi saana,
  na hii dhambi ukweli jk aliileta na inazidi kukua tuu!
  hafanyi juhudi zakuipoteza.
   
 5. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Mie nachukia watu wanafiki kama wewe ambao hutafuta visingizio kukwepa ukweli !
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nachukia sana ccm
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  udini na ukabila..ka sa hivi unasikia ccm inasema Rais ajayo hawezi kutoka kaskazini..uo ni ukabila ambao ni sawa na udini ni ajabu kwa viongozi wa nchi kuongea maneno kama hayo
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nachukia Vyeo vya mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya!!! Ni ukoloni, mtawala anatoka Mwanza anatawala Kigomaa.....
   
 9. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280

  Usiwe mwoga wa vyama vingi. Bila vyama vingi CCM ingeendelea kukubagua wewe pamoja na raia wengine wasio nacho. Vyama vingi ndo ufunguo wa maisha. Wewe jiulize, toka tumepata uhuru mpaka leo hii tunatawaliwa na chama kile kile (TANU, CCM) lakini cha maana walichikifanya hakuna zaidi ya kutukandamiza. Kama unasema hupendi siasa ni sawa maana siasa ni unafiki mtupu. Ni bora kusoma na kujifanyia kazi zako lakini usiwe mwana siasa full time. Popote duniani, wana siasa ni watu wa majungu, they are NOT trustworthy as they can change any time kama unavyobadirika upepo. Je, umeshawahi kuona mwana siasa yeyote yule msema kweli? Kwa nchi zilizoendelea, wana siasa wanafikiria namna gani wammalize adui yao kwa kumuanika hadharani mapungufu yake na maovu ya familia yake (kama yana exist) ili aonekane wa hovyo na jamii imcheke. Kwa kina sie, tunauana kwa kurogana ili fulani ashinde uchaguzi na kuua compettition all together. Usiporoga wewe, jua kabisa wenzako watakumaliza hapa kwetu. Hakuna kiongozi ama mwana siasa asiyeroga hapa Tanzania huo ni uongo. We kuroga aroge mjumbe wa mtaa ama mwenyekiti wa mtaa ili apate ruzuku sembuse mawaziri? Usiamini serikali kusema kwamba hawaamini uchawi, ile ni danganya toto tu. Hakuna watu wanafiki kama viongozi wa serikali hapa Tanzania (na dunia nzima). Kiujumla, ubaguzi wa aina yeyote ni mbaya na hakuna wa afadhali kwani ubaguzi ni ubaguzi tu.
   
Loading...