Majibu ya Ofisi ya Bunge la baraza la wawakilishi Zanzibar kwa kikundi cha UAMSHO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya Ofisi ya Bunge la baraza la wawakilishi Zanzibar kwa kikundi cha UAMSHO.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbaga Michael, May 29, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Rashid Salim Adiy na wenzako,
  KUH: OMBI LA HOJA YA
  KUWEPO KURA YA MAONI
  JUU YA SUALA LA
  MUUNGANO WA TANZANIA
  Nimetakiwa na Mheshimiwa
  Spika wa Baraza la wawakilishi
  la
  zanzibar niwajulishe kuwa yeye
  haoni haja ya hoja yenu ya
  kuwepo kura ya maoni juu ya
  suala la Muungano wa Tanzania
  kujadiliwa kwenye baraza la
  wawakilishi la zanzibar kwa
  sababu hilo ni swala la kikatiba
  na serikali ya Jamhuri ya
  Muungano wa Tanzania tayari
  imeshatoa maelekezo juu ya
  kujadiliwa na baadae
  kupatikana
  katiba mpya ya Tanzania.
  Mheshimiwa Spika anaamini
  kuwa swala liliomo kwenye hoja
  yenu linaweza kupatiwa jibu
  kupitia njia hiyo na, kwa hivyo,
  halitapangwa kujadiliwa
  kwenye
  baraza la wawakilishi
  Ni imani yake kwamba
  mutamuelewa
  ahsanteni
  Yayha Khamis Hamad
  Katibu wa baraza la wawakilishi
  zanzibar
  28 April
   
 2. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  MAJUMIKI wala hawakuelewa..wakaendelea Kufanya Ugaidi kama MUNGIKI,BOKOHARAMU,TALEBAN. Curse unto them
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wakiristo watanganyika nyoyooooooooooo waaaaaaaaaaa
   
 4. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Bora waendelee kudai kihivyo
   
Loading...