Je, cuf nyuma ya uamsho zanzibar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, cuf nyuma ya uamsho zanzibar?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Head teacher, May 29, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kauli tata zilizowahi kutolewa na naibu katibu mkuu CUF zanzibar kuhusu Muungano, na baadae suala la kushindwa kwa CUF uchaguzi jimbo za Uzini, ambapo ndg Ismai Jussa, akifafanua matokeo hayo alisisema yametokana na Uzini kuwa na makanisa mengi na idadi kubwa ya watanganyika.

  Miezi michache baada ya kauli hizo UAMSHO ulianza kufanya makongamano ya kupinga Muungano, kuchoma moto makanisa na kuwafukuza watanganyika Zanzibar.

  Je CUF, chama kikuu cha upinzani Zanzibar kitajitoaje katika dhahama hii ya ubaguzi wa wazi?
   
 2. M

  MAKAWANI Senior Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yawezekana Jussa anatumia CUF kama mahali pa kufanyia uhuni wake wa kibaguzi na udini! Hawa ndo watu wa kufukuza kwenye chama na si kumfukuza Hamad Rashid aliyewapa ukweli na aliyeonesha kuwa hana ubaguzi. Kwa ujumla namwonea huruma Lipumba na mwenzake Mtatiro wanaoburuzwa na watu wa zanzibar! Vission ya chama inaweza ikawa nzuri but baadhi ya watu wanaodhani ndo zaid ya chama wanakiharibu! Na wewe lipumba si uhame!!!!!!
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Waacheni CUF watafakari, huu ni wakati mgumu sana kwao.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mimi nafikiri huenda ni CCM wanachochea uchomaji wa makanisa ili watu wa lose concentration na mambo ya muungano ili udini uwepo waweze kutumia polisi kuwapa kichapo hata wale ambao hawataki muungano chezea Nyinyiem nyinyi
   
Loading...