Akutwa ameuwawa kinyama

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Mtu mmoja amekutwa nyumbani kwake akiwa amekufa baada yakuchinjwa shingo. Arusha kijenge mtaa wa kashmir polisi wamefika wameuchukua mwili wa marehemu kuupeleka hospital ya mkoa maunt meru r i p
 
Mtumeeeeeeee! watu hawaogopi inakuwaje unamchinja binadamu mwenzio? hata kama kakufanya nini sio kumchinja loh..
 
Hivi hii nchi ya KITU KIDOGO hata lini TAFAKARI? Polisi wako wapi tukio la juzi USA hakuna ripoti, watu wanaibiwa kila mchao hakuna ripoti..
Hivi hawa polisi wapo kweli ?!!
Mbona inshu ya Waziri Kigoma Malima watuhumiwa wote walikamatwa.. Uweje Mtu anachinjwa no body care!!
 
Bado kidogo watu wataanza kuunda majeshi ya mitaani kujilinda na hawa wauwaji! ndipo itakapobadilika na kuwa visasi! Polisi wafanye kazi yao inavyotakiwa vinginevyo lawama zitakuwa juu yao.
 
Back
Top Bottom