Vurugu Zanzibar, Bilali anazindua vitabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu Zanzibar, Bilali anazindua vitabu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjomba wa taifa, May 27, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio aina ya viongozi tulionao, makamu wa Rais anazindua vitabu vya Yusuf Makamba wakati wazanzibar wanatafuta pa kukimbilia kuficha uhai wa maisha yao, hakuna kiongozi wa kitaifa kasema chochote.
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi kwani Bilali nae ni kiongozi namashaka na Phd yake hata kwa mtazamo na matendo haviendani na elimu yake
   
 3. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili swali aulizwe SIKONGE
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,517
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ndiotype za viongozi wetu!

  Hawajali chochote na hawawezi kutofautisha vitu
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,659
  Likes Received: 20,254
  Trophy Points: 280
  Si unajua unafiki wa magamba...wanajifanya kama hakuna lolote lilitokea kule Z'bar.
   
 6. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wewe Mjomba wa Taifa,
  Tafadhali sana usimsumbue Makamu wangu wa Rais Dr. Billal. Ni nani asiyejua kazi yake Tanzania toka aingie madarakani? wewe hujui kwamba yeye kazi yake ni kukata utepe wa funguzi mbalimbali? wewe unafikiri ukipewa ruhusa ya kukagua mizigo yake ni kifaa gani hautaukosa? Jibu ni raihisi tu ni MKASI. Hiyo ndiyo kazi ya Dr., wa nyuklia na kamwe matatizo ya Wazanzibar hayamuhusu tena. Wazanzibar wanataka muungano uvunjike tofauti na nafasi yake, wewe unategemea utepe atakata tena?

  Hakika hawa ndiyo viongozi tulionao. NI JANGA LA TAIFA!
   
 7. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yusuf Makamba ameandika vitabu!!
  anavojua kuchonga nahisi ni komedi fulu mzuka.
  Shein+JK + Bilali + Shariff = uswazi
  Tutakoma mwanawane
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu hyo si ndio KAZI, a.k.a mzee wa utepe
   
 9. Z

  ZIMBOO Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo ndio maisha yanazidi kuwa bora kwa watanzania.
   
 10. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,164
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hivi Mze Makamba amesoma? Sijapata ona Mze mwenye majungu kama huyu dingi na ndiyo maana walimvua gamba!
   
 11. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 5,726
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Labda kama ingekuwa ni kukata utepe kuzindua vurugu angekuja!
   
 12. M

  Mzee Lupa Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wangekuwa wakrsto wamefanya hayo ...unafkir ingekuwa hvyo? Hyo yote ni kwa sababu wanaoonewa ni wakrsto ....silence means YES
   
 13. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,520
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Viongozi tulio nao ni mzigo! Hawajui kusoma alama za nyakati. Wanafanya kazi kama mashine au roboti. Ndio maana hajutasikia hata tamko kali kutoka ngazi za juu...
   
Loading...