MUUNGANO ni kama koti,ukilichoka waweza vua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUUNGANO ni kama koti,ukilichoka waweza vua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, May 28, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nikiamini katika urithishwaji wa mawazo, tamaduni n.k. kuna methali inasema mtoto wa nyoka ni nyoka..Haya mambo yanayotokea leo Zanzibar hayajaanza leo,historia yake inadhihilishwa na kauli ya muasisi mwenza wa muungano mzee Karume aliposema Muungano ni kam koti.....wazanzibar wadai kujitenga from muungano,tunawang'ang'ania wanini? kwa maslai ya nan? ANGALIZO KWA WAZANZIBARDhambi ya ubaguzi ni sawa na dhambi ya kula nyama ya mtu,huwezi acha..ukimbagua mwenzako leo kwa sababu ya eneo,kesho itakuwa kwa sababu ya rangi na lafudhi......natumaini wazanzibar mmauelewa mkubwa kuzidi hao wanauhamsho......wasalaam
   
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wazanzibar na wazanzibara,
  wapemba na waunguja,
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamani kazi ya huyu fundi Dr Bilali ni ipi? Au ni kama mwaka 1998 akiwa Wsziri Kiongozi Zanzibar alipoenda katika Hoteli ya kitalii ya Venta Club Mawimbini na kumwamuru manager Mzungu awafukuze wafanyakazi wa Bara? Mbona anakaa kimya kwa haya yote yanayotokea?
   
 4. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje kuhusu wapemba walojaa bagamoyo...Msasani na ni wamiliki wa Majumba ya Kifahari wakipangisha wakoloni. Vipi kuhusu wenye maduka kkoo...Namanga...TX Market Kinondoni..Temeke na kwingineko. Ni vipi kuhusu daladala za wapemba na waunguja jijini Dar. Ni vipi kuhusu wabara walooa wapemba na wazanzibar waloolewa na wabara. Ni vipi kuhusu watumishi wa serikali wazanzibar waliopo bara na wabara unguja na Pemba. Unajua kuchamba kwingi unawezatoka na kinyesi. Karafuu...prawns..kasa..lobster..n mazao bahari wanayoiba kinyemela kupeleka uarabuni. hawa janjawid wanawadanganya sana. Sasa Tamko Rasmi ni hili..HAO WANAOTAKA MUUNGANO UVUNJIKE UKIWACHUNGUZA HATA RANGI ZAO NI WAJUKUU WA MAKABURU WA SULTAN. LAO LINAFAHAMIKA. DAWA IKO JIKONI. RAIS WA ZANZIBAR NI MPEMBA MAKAMU WOTE NI WAZANZIBAR PIA. JE INGEKUWA RAIS NI KUTOKA BARA WANGEFANYAJE HAO WANAOTAKA MUUNGANO UVUNJWE? WAKATI DUNIA INALILIA KUUNGANA WAO WANATAKA UTENGANO. KAMA WAMETUMWA WAENDE MAHALA PENGINE NA SIYO TANZANIA. TUTAONA MWISHO. :D
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona walio vaa hilo koti wote ni hayati,.Hilo koti halipo, I mean NO MUUNGANO HERE.
   
Loading...