Maoni ya Katuni
Vurugu kubwa zilitokea Zanzibar juzi na jana na kusababisha shughuli za kiuchumi kusimama baada ya kile polisi wanachosema ni matokeo ya jaribio la wafuasi wa Jumuiya ya...
Viongozi wa dini nchini, wamelaani vikali kauli ya Rais wa Marekani Baraka Obama, Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron iliyoungwa mkono na Rais Mpya wa Malawi, Joyce Banda ya kutambua kisheria...
Umma unashuhudia hali tete ya machafuko ambayo hayakutarajiwa yakiibukia tena Zanzibar, wakati ambapo Nchi ilishaanza kunawiri matunda ya utulivu na maridhiano, chini ya Serikali ya Umoja wa...
Ndugu zangu Wabara, wala msihangaike kupambana na Wazanzibari! Hakuna nchi itakayoitwa Zanzibar miaka michache ijayo kutokana na tabia mabadiliko ya tabia nchi. Kisiwa hiki ni miongoni mwa vilivyo...
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.
Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka...
Wakili maaruf sana wa serikali marehemu Bonifase Stanslaus amefaliki ghafla jana. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema alipatwa na mshituko ghafla na kufariki mara baada ya kutoka arusha...
salaam sana wana JF.
Nyerere (RIP babu yangu) ulitueletea azimio la Arusha na watu wakatembea kwa mguu kutoka Arusha kwenda (hapa sina uhakika ni Dar ua Dom) (rest in peace Seth Benjamini )...
Wakubwa! Poleni na mishemishe ya kuwinda riziki viwanjani! Manake kila kukicha afadhali ya jana!
Kwa sasa kiwanja cha riziki Zenj wamebana, sijuitakuwaje, na Tg wakiweka contena?
Zenj Zenj...
Katika vipindi mbalimbali nchini mwetu Tanzania, tumeshuhudia vurugu na fujo zenye mwelekeo wa kidini. Kuanzia zile za uvunjaji wa bucha za nguruwe (Tanzania Bara), uchomaji wa baa (Zanzibar)...
Tayari baadhi ya taasisi zimeanza kuwaandikia barua wafanyakazi wao kuwajulisha juu ya kuchelewa kwa mishahara ya mwezi wa tano. Katika barua hizo inaelezwa kwamba hazina ipo kimya kabisa...
Katibu wa Bunge Dr Kashilila amesema Afya ya mbunge wa Korogwe vijijini mh.Stephen Ngonyani ,maarufu kama Profesa Majimarefu inazidi kutengemaa na kuanzia sasa wakat wowote atarud nyumban,,,,Dr...
Leo naona makamanda wako busy na Zanzibari, wamesahau kabisa M4C. Leo mkutano uko wapi, au kuna shughuli gani inaendelea. Je Shibuda ameshaomba radhi kwa Heche.
Posted on May 28, 2012 by zanzibaryetuZanzibar leo hii imejikuta ikirejea kule ilipotoka baada ya matukio ya uvunjifu wa amani kujitokeza kwa mara nyengine tena ambapo wananchi na jeshi la...
Katika Gazeti la Jana la Tanzania Daima lilikuwa na maelezo kuhusu vurugu zilizotokea huko Zanzibar pamoja na picha mchanganyiko wa vurugu hizo lakin cha kustua na kuhuzunisha ni kufanya mambo...