Mokiwa, pengo , Malasusa, mwingira, mlikuwa wapi siku zote?Mpaka haya yametokea?
-Mokiwaa na Pengo etc mmekuwa wapi miaka yote hadi tumepewa historia za uongo ktk vitabu vyetu.Tuna mashujaa wetu...
Ndugu zetu WAZANZIBARI ipokeeni "peaples power" kama kifaa cha kupambana na sera msizopendezwa nazo huko visiwani,kwani hamuoni sie wabara tunavozidi kufanikiwa kuinyoosha serikali?
Najua mmeamua...
Wanajamii tuliunge mkono shirika la ndege la Tanzania kwa kupanda ndege zake (yake) sasa hivi precission na 540 wameshusha bei baada ya kuona wings of Kilimanjaro wanatozo ndogo sasa siku zote...
Mimi kama mwanacdm halisi ni lazima niwe mkweli hasa pale napoona kuna kitu kama hakiendi sawa.
Jamani kwa mtazamo wangu (self opinion) sijafurahishwa na hizi picha kwenye fcbk wall ya Heche na...
Wana Jf kwanza kabisa naomba kukiri wazi kuwa sikuwa vizuri katika somo la hesabu enzi zangu shuleni,lakini namshukuru mungu kwamba hesabu za maisha ya kiafrika naziweza vizuri tu.Kwa miaka mingi...
Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za...
Amiri wao Farid Hadi ametoa tamko hili mbele ya vyombo vya habari leo. Amesema Uislam unapinga vitendo vya chuki dhidi ya dini zengine. Hivyo watawaja wote waliohusika na uhuni ule.
Source...
Ni ukweli usiopingika, kuwa nchi yetu sasa inakabiliwa na matatizo mengi. Moja ya tatizo kubwa, ikiwa ni ubadhilifu wa fedha za umma, kuanzia serikali kuu hadi serikali za mitaa. Tatizo hili...
Madai yenu ya kuukataa muungano yanauzito na nimadai yanayo sikilizika na kufanikiwa kama mtatumia busara na hekima Zifuatazo:
Islamic State of Zanzibar: Mtakuwa mmejichimbia makaburi pindi...
Ya the Citizen la leo(June 1, 2012) imeandikwa kwa kiswahili, mmenote hicho kitu jamani? kuna watu wanataka kumuharibia TIDO nini, sababu wakenya kwa majungu tu!!
tokea jana kama mwanademoksia na pia mkombozi wa nchi ninayoipenda na pia mwanafamilia wa JF unajua kunamaneno ambayo watu wanaweyekusema wakiwa kwao nyumbani na familia zao lakini kuja jamvini...
Mimi ni mwanachama wa cdm na kila nilipo naihubiri cdm,hata kwangu hukutani na kitu chunye rangi ya njano au kijani zaidi ya mimea iliyowekwa na mwenyezi Mungu. Naomba kila siku tuendelee...
kwa kifupi lazima shibuda afukuzwe ili Chama kipate ushindi.hii ni kama ODM ya Kenya walipomfukuza Najib Balala uanachama kwa kulisaliti chama na mwenyekiti Raila Odinga aliposema,(tunacheza mechi...
Hii issue ya maandamano ya Uamsho, vurugu zilizotokea na uchomaji wa makanisa ina mengi yaliyojificha kuliko tulivyoona na kuamini (au kuaminishwa).
Kuna wanaoona kuna mikakati ilibuniwa...
Anachofanya Maige ccm hakina tofauti na anachofanya Shibuda cdm, tofaut yao ni kuwa Maige kaponzwa na utendaji wake na kusukumwa nje na mfumo wa makundi ya urais 2015 ndani ya ccm, wenye akili...
Binafsi ktk moja ya mambo ambayo mpaka leo yananisikitisha kuhusiana na serikali ya awamu ya kwanza chini ya mwalimu Nyerere ni kutoruhusu mfumo wa vyama vingi.Wako watanzania wengi wanaamini kuwa...
RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa, jana alisema kwa sasa hataki kusumbuliwa kwa namna yoyote, badala yake ameomba aachwe huru ili ashughulikie matatizo aliyonayo.
Bila kutaja aina ya matatizo...