Nampenda sana nape kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nampenda sana nape kwa hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, Jun 2, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  BINAFSI NAFURAHISHWA SAANA NA NAPE KWA KUKIMALIZA CHAMA CHAKE NI MTU ANAYEJIJENGA BINAFSI BADALA YA CHAMA NIMEFURAHISHWA NA HILI KWA SABABU HILI LINASAIDIA SANA KUONGEZEKA KWA WAFUASI NA WAPIGA KURA WA CHADEMA.KAMA CCM INGEKUWA MAKINI INGELIFANYIA KAZI HILI KAULI YAKE YA KUMJIBU MAIGE NI UPUUZI MWINGINE KWA KUSEMA MAIGE SI SIZE YAKE HII NI KUONESHA ASIVYO TAYARI KATIKA WADHIFA WAKE UNAMZIDI UMRI NAOMBA KUWAJULISHA HUU NI MTAJI TOSHA KWA CHADEMA KWANI HAKUNA MASHIMO KWENYE BARABARA YAO YA KUELEKEA IKULU 2015 RIP CCM:lock1:
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kula like yangu kwa roho moja kamanda.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Safi sana kijana! Nape anasaidia sana kuijenga chadema ndio maana kila anacho ulizwa ukimbilia kwa chadema.
   
 4. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Kashaadhirika na cdm,kama ni malaria imeshafika kichwani
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mbona ccm ipo mochwari siku nyingi sana labda cuf
   
 6. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena, acha aendelee kutuongezb point za ushindi akiwa ndani ya chama mfu na baada ya uchaguzi mkuu tutajitahid kukifutia chama chake usajili afu akaombe ubalozi wa nyumba 10 huko kijijini kwao
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Chama tawala kwa sasa ni cuf maana hata uamsho wameleta wao
   
Loading...