Riz-one umesikia yalomkuta Andrew Banda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Riz-one umesikia yalomkuta Andrew Banda?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 1, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Andrew Banda ni mtoto wa aliyekua rasi wa Zambiaamefikishwa mahakaman kwa kujihusisha na rushwa pamoja na kujilimbikizia mali isivyo halali,ingawa kwa sasa ni baloz mdogo nchini India,ila Andrew amepelekwa mahakaman kwa kosa la kutuhumiwa kupokea rushwa kwa kampun ya kiitaliano ambayo imeshinda zabun ya ujenzi wa barabara,lakin andrew amepinga,amesema kampun hiyo ilimlipa kihalali kwa kazi ambayo aliwafanyia(yaya ana kampuni yake),pia anatuhumia kutumia dola elfu sabini kwenye akaunti yake,ila haieleweki zilipatikanaje na alizitumiaje,pamoja na hayo mdogo wake naye anatafutwa na haijulikan alipoinawezekana kuwa kuna visasi lakini pia zambia inaonekana inapambana na Ufisad
  Kwanini namtaja riz-one hapa????maana amekua akitajwa sana kuwa UKWASI wake ni wa magumashi,na watu wamekua wakiuhoji sana,,,,,jana nilisikia watu wakimzungumzia kwenye daladala,lakini hata hapa jf tumekua tukimjadili,,,,,,LISEMWALO LIPO.......ikitokea mtu akataka kumchunguza siku zijazo aungwe mkono huyu mhitim wa sheria udsm ambae hana hata miaka kumi kwenye ajira
   
 2. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  LISEMWALO LIPO
  kwa hiyo wanaposema chama chenu ni chaga developement manifesto ni kweli ?
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  2015 Riz1 Kizimbani Kisutu.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  umeamka na pampasi unakurupuka tu,,,,chama changu kipi????yaani mada hujaielewa inahusu nini au umejisikia kutapikia hapa.....kimetajwa chama hapo????
   
 5. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Illogical comment!
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mwambie LOFA wa mawazo huyo,ye anadhan kila anyeandika hapa ni mfuas wa chama tu,,,,
   
 7. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Samahani Riz hata kama dini inamruhusu kuoa wake wengi kasema aliokua nao wanamtosha

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh jaman mbona ivo?
  ukiamka na ped ndo akili inakuwa finyu?ahh mi sijaipenda i...ungetoa neno ped km hauitaj kuwatusi watumizi wa ped.


  bak 2topk yap...kaka riz one aamke aache kumtegemea baba kumpa dili kwa jina lake cz dng akided sheria itamfyeka....AAMKE.

  mbona watoto wa mkapa mie sikuwaskia jaman km awa watoto wa ******?
  wa nyerere?
  au wao walikuwa awajui jinsi ya KUWALEA watoto?
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  ujinga tu
  mtoto mdg wake mia.......na anapenda mashoga hatar.....MUNGU APEND....au sunaaa?
  na apo apo kaz za nje 3000
  dzain anataka kumshnda mfalme suleiman...shauriro babu utababuka jojoa iyo ushindwe kukojoa haya nsasema mie....:israel:
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  oooh,samahan dadangu,nimebadili....huyu mwehu alianza kuitbua IJUMAA YANGU
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ah,,,mambo ya wake zake hapa yanahusika????akoding to the sridi
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lah....salalaaaaaaaaaa............mbele kachoka?????MUOSHA HUOSHWA JAMAN
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu dogo wa tz lazima apelekwe kwa pilato subiri dingi ake amelize mdaaa!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inategemea na atakayemrith dingi yake ana mtazamo gani,hata kama atakua wa upinzan
   
 15. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  ​Huko kutokuwasikia inaweza ikawa ndo fursa zaidi kwao kula mema ya nchi kuliko Riziwani Mnaemsikia.
   
 16. S

  Sala Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duh nimeshindwa toa comment wandugu nyie endeleeni tuu
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  so nae ale kwakua watoto wa mkapa hawajasikika wakila,hata kama wanakula????
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante kwa kukoment juu ya kushindwa kukomenti,nayo pia ni koment
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Usihofu bajabiri tuna majembe mengi kama kina mtikila watampeleksha tu.
   
 20. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dr.slaa au EL wakichukua nchi walai jamaa lazima aende ukonga,ila wachovu kama migiro au membe aaaah jamaa atazidi kula shushu..
   
Loading...