Records managers contacts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Records managers contacts

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HR CONSULTANT, Jun 2, 2012.

 1. H

  HR CONSULTANT Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WADAU KAMA WEWE NI RECORDS MANAGER KATIKA TAASISI YOYOTE NAOMBA MAWASILIANO YAKO TUNAANDAA DATA BASE YA NA RECORDS MANAGER KWAAJILI YA KUSHIRIKIANA KATIKA FURSA MBALIMBALI.

  KWA MAELEZO PIGA 0653 07 59 49 AU E-MAIL president2003tz@yahoo.com
   
 2. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who are you and why? Funguka vizuri ili tujue unachotaka! Kama vp ni-pm ili tuelewane vizuri
   
 3. H

  HR CONSULTANT Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi ni mdau wa talumaa hii,lengo kubwa ni kuanzisha kitu kinachoitwa Records and Archives Management (RAM) Evenings chapter,kitakachotoa nafasi kwa wadau mbalimbali wa Records management kukutana na kujadiliana mambo mabalimbali na kushare opportunities kama Consultancy na Training.Nchi nyingine za East Africa wamekwisha fungua chapters zao bado hapa kwetu Tanzania.
   
Loading...