Hili suala la machafuko ya Zanzibar mi naona ni matokeo ya mfomo mbovu uliopo na unaoendelea kuwepo chini ya Serikali hii ya majoka ambayo imeshindwa kabisa kuja na suluhisho la kudumu la matatizo na kero za muungano. Mda mwingi wanautumia kupanga mipango ya kugawana vyeo na madaraka na kusahau kero za muungano. Kwa mfano nguvu, utashi,ushawishi na utashi wa kupiga kura ya maoni ili kuunda serikali ya mseto zanzibar wangeitumia kutatua kero za muungano. Tujadili