Rais wetu Omba Omba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wetu Omba Omba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mageuzi1992, Jun 2, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukiona mtu mzima na mikono na miguu..Mzima wa afya ana elimu ya kutosha ana shamba la kulima mahali pa kulala maji ya kutosha. Madini yamejaa shambani kwake lakini mtu huyo anaomba omba huku na kule utamshangaa sana. Je Wasifu huu unamfaa nani hapa kwetu ? Nani mwenye tabia kama hii. Ni aibu kusikia ama kumuona mtu mzima wa namna hii Je huyu mtu ni wa nchi gani?
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,481
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  hiyo sio tetesi wala breaking news mkuu... OPEN YOUR EYES
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Jk hajaonana na Andy Chande mbado? Labda atapunguza umatonya!
   
 4. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,161
  Likes Received: 3,275
  Trophy Points: 280
  anaomba hadi aibu hana jipya kazi kuchekacheka kwenye TV
   
 5. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,452
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Is this tetesi?. Duh..kweli uko nyuma sana kama wabarbaig.
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Halafu mnashangaa watoto na watu wazima wanapo omba omba mitaani!! It has become a national culture!!!!
   
 7. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We Mageuzi1992,

  Nani alikupatia kuwa Senior Expert Member!
  Hii ni aibu kwa Great Thinker kusema kwamba Tabia ya kuwa Omba Omba Mrisho Jakaya Kiwete ni tetesi? Huo ndio ukweli wenyewe huyu jamaa Kama asingekwenda shule pale Chalize Mzee ingekuwa tabu kupitisha gari.

  Angeomba pesa kwa Kila apitaye na ukimnyima angevizia pale wami kutwanga watu mawe au kumwaga oil ili Magari yapinduke achukue wakifa. Hili ni janga la Kitaifa. Kiguu na njia kuomba sasa anauza mashamba migodi na Bandari .

  Ushauri asisahau kujenga jela pale Lugoba kwani utafungwa maisha Kama Mubarak mwache aendelee kucheka tu!

  Hucheka sana anayecheka Mara ya Mwisho. JK you are definitely a future prisoner wewe na Ritz One. Ila mama Mwanaisha ataendelea na WAMA mfundishe isije kuwa kama ule mfuko wa Ana Mkapa.
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  matonya.
   
Loading...