Msaada jamani-how to apply for PSRS employment opportunities | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani-how to apply for PSRS employment opportunities

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PrN-kazi, Jun 3, 2012.

 1. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kuna mdau ameniuliza swali akiamini nitampa majibu ya haraka lkn sikufanya hivyo kwani nimeangalia umuhimu wa ishu yenyewe na nikahisi kuwa inawezekana kuna mtego ambao unaitaji mteguaji.

  Sasa ni hivi kwenye zile nafasi za kazi zaidi 2500 zilizotolewa na Sekretarieti ya Ajira majuzi, kuna sehemu unakuta wameandika kwa mfano nafasi ya AFISA UTAWALA DARAJA LA II alafu kwenye utangulizi wameandika nafasi hizi ziko eidha kwa Katibu Mkuu makamu wa Rais,katibu mkuu wizara ya kilimo, katibu tawala wa mkoa Pwani ama Halmashauri ya jiji Mwanza n.k.

  SWALI: kwa anayeandika Barua ya maombi inabidi aonyeshe ni ofisi ipi/sehemu gani angependa aajiriwe??? mfano kama ni kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamunwa Raisi au anaandika NAFASI TU alafu anaiachia Sekretarieti Ajira ndiyo itajua itampanga wapi?????
   
Loading...