Imedhihilika ccm ndio mabigwa wa udini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imedhihilika ccm ndio mabigwa wa udini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutwale, Jun 2, 2012.

 1. Mutwale

  Mutwale Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake alisema na kutamka wazi wazi kwamba CDM walikuwa na siasa za udini!

  Lililojitokeza Zanzibar, ambapo wanauamusho ambao ni wana CCM na ndugu Zao wamechoma nyumba za ibada/makanisa kwa sababu ambazo hazijulikani! Sasa imeonyesha wazi ni akina nani wabaguzi na ni akina nani wadini!

  Haya yaliyotokea Zanzubar ni sawa na ule usemao kuti la mazoea umwangusha mgema au Mchelea mwana kulia ulia mwenyewe!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ubaguzi wa namna hii ni sawa na kula nyama ya mtu!
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wenyeakili toka zamani tulijua kua mtu asipotimiza ahadi na matarajio ya wapiga kura wake atatafuta sababu za kijinga kulinda na kuhalalisha uongozi wake, coz wangetimiza ahadi huna haja ya umbea utazungumzia ulichofanya.Aliesema ni chagua la Mungu ni ccm, Unakumbuka Igunga na Matamko ya viongozi wa Dini,
   
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
   
 5. k

  kicha JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  wana uamsho wametamka wazi wao ni wazenji na sio cuf au ccm mbona huupendi ukweli huu? juzi uliwahusisha na cuf, leo ccm ili upendezeshe uzi wako kwa kupata wachangiaji wengi bcs unajua ukitaja cdm humu, watu umewakuna na huchangia bila kufikiri, hata ivo muamsho pia walielezea sana kuh uo udini , kama huyataki yote ayo basi angalau pitia alichokiongea mh LISSU jana, mkuu usikurupuke za kuambiwa changanya na zako.
   
Loading...