Ni kitu gani ungependa kiwepo kwenye katiba mpya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kitu gani ungependa kiwepo kwenye katiba mpya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyamungo, Jun 3, 2012.

 1. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Toa maoni yako kwenye huu uzi kuhusu chochote ambacho ungependa kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya ili tutakapokutana na Tume tutoe maoni yanayofananafanana.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Wazee wote kuanzia miaka 65 wasitaafu na ambao hawakuwa watumishi kwa ujumla watunzwe na serikali kama kundi maalumu

  Watumishi waruhusiwe kupewa haki ya kufanya siasa mfano ktk uchaguzi na wawe huru kuendelea na kazi zao za awali endapo hawakupata kuchaguliwa ktk nafasi za kisiasa
   
 3. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgombea binafsi
   
 4. A

  Activist p Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa uhuru wa kuabudu ubaki kama ulivyo.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Rais apunguziwe madaraka ya kuteua vyeo kibao! Viti maalumu viwe maalumu kweli mfano,walemavu,wazee,vijana,albino,wanawake baasi kila chama kitoe viti sawa!! RC,DC,Mawaziri,wakurugenzi wa idara mbalimbali/wilaya/mkoa,Makatibu wa wizara na wote wanaoteuliwa na prezda wote wawe wanaapply position hizo na qualification husika strictly degree/master/phd etc

  •mbunge aweze kuadabishwa na wananchi sio lazima afikishe miaka mitano na akiondolewa mshindi wa pili ashike kiti(kuepuka gharama za uchaguzi)

  •Mfanyakazi wa umma waziri,mkurugenzi,katibu na vyeo vinavyofanana na hvyo akila rusha au akiliingizia hasara taifa shurti afilisiwe na apate mvua zisizopungua 10

  •Serikali isomeshe wanafunzi bureee vyuo vikuu
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  vitu muhimu kama bia vifutiwe kodi
   
Loading...