Bodi ya mikopo angalieni hili wanafunzi wanateseka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo angalieni hili wanafunzi wanateseka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Parata, Jun 3, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  naongea hili nikiwa ni mtanzania ninaeshuhudia yanayotokea kwa wanafunzi wa mwenge university tawi la st agustine moshi.wanafunzi wa chuo hiki wamemaliza mtiani wao wa UE na hawajapata pesa yao ya kujikimu iliyopita ya miezi miwili na muda wa kurudi makwao umefika na hawana hela chuo wanawaambia hawajatuma pesa napenda nitoe kauli kama mwananchi wa kawaida nilieguswa na tatizo hili kwani ninaishi karibu na chuo hiki na wanafunzi wanateseka sana kina dada wanajiuza BODI YA MIKOPO KAMA IYO HELA HAMJATOA ITOENI NA KAMA MMETOA TAFADHALI WAAMBIENI WAWAPATIE WANAFUNZI HELA KWANI WANATESEKA SANA NAJUA WATU WA BODI MMO HUMU TAFADHALINI SANA SHUGHULIKIENI HIL
   
 2. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwanini hawagomi? Unajua hii bodi inashughulikiaga matatizo ya wanaogoma fasta sana. Wenzao wa St. John na Nyerere kigamboni waligoma wakapewa fasta.
   
Loading...