Hv serikal kugeuza "JKT" kuwa supermarket za matrekta ndio!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hv serikal kugeuza "JKT" kuwa supermarket za matrekta ndio!?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Senator p, Jun 4, 2012.

 1. S

  Senator p JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ule mpango wa "kilimo kwanza"pembejeo baadae,utimizaj wake unaendelea ukiwa na kasolo kibao.Wakulima wengi wapo vijijin na sio kila wilaya ina ofisi za "JKT".Wanawasaidiaje ikiwa matrekta yote yanapatkana "JKT SUPERMARKET".Sio kwamba wamekosea,laasha ila inatkiwa "JKT"wawe wasimizi na wawake wawakilish kila wilaya ili kutoa elimu juu ya matumizi na namna ya kuwakopesha.Co watz wote manafaham km kuna matrekta ya mkopo,tena hsa waishio vijijini.

  Nawasilsha.
   
 2. T

  Teko JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa,wanaoishi vijijini ambao ndiyo wakulima wenyewe hasa wala hawajui kabisa hilo suala la matrekta.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mpango mzima uko kimaslahi zaidi ya baadhi ya watu kuliko kitaalam as far as KILIMO KWANZA alien is concerned!
   
 4. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Lakini ninafikiri hujafanya utafiti wa kutosha, matrekta yale yameenea tanzania nzima, JKT kupitia Kampuni yao ya SUMA JKT hii ni kampuni ambayo inajiendesha yenyewe ndiyo ina jukumu la kusambaza matrekta hayo ukilihitaji unalipia na unakwenda wilayani kwako kuchagua aina ya ulilolipia. Halafu utofautishe kati ya JKT na SUMA kila moja ina kazi yake bro.
   
Loading...