Dhana ya UKABILA TANZANIA:MADA ILIYOPO SASA DW REDIO

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kuna mjadala hapa dw redio(swahili service) juu ya ukabila nchini tanzania,,,,wapo wanaosema kwa sasa upo,,,na sababu ni ubinafsi ndo maana baadhi ya ofisi unawakuta watu wa kabila fulani ndo wamejaaa na si wengine(akoding to watoa mada),pia wanajadili kutokuwepo kwa uwiano wa kimaendeleo(mikoa kwa mikoa),,,,,
tune rfa na redio zinazojiunga na dw redio,,,nasi twaweza jadili hapa
 
Hili lipo ingawa halipewi uzito na watanzania kwa kiasi kikubwa hasa nadhani ni kutokana na muingiliano wa makabila uliopo ambapo leo hii Mtz anaweza ishi sehemu yeyote nchini,pia nadhani kuwa na makabila mengi pia imesaidia kuidumaza hii dhana maana ingekuwa kama nchi nyingine zenye makabila machache lazima kingenuka tu siku moja!Hata hovyo hili si la kupuuzia maana siku moja huenda likaleta madhara.Kuna kabila kama 3 hivi au 4 hapa nchimi zinaendekeza sana ukabila!!
 
Naona la udini linaelekea kufanikiwa na sasa wanataka kupandikizia ukabila.
 
Back
Top Bottom