WAKILI MWALE AIBWAGA TENA SERIKALI,jaji adai mawakili wa serikali walikurupuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAKILI MWALE AIBWAGA TENA SERIKALI,jaji adai mawakili wa serikali walikurupuka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, May 11, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakili maarufu nchini,Median Mwale ameibwaga serikali kwa mara nyingine na kutakiwa kukabidhiwa magari yake ya kifahari yanayoshikiliwa katika ofisi za TRA jijini Arusha.

  Hukumu hiyo nimetolewa na jaji wa mahakama kuu kanda ya Arusha kakusulo Sambu huku akisisitiza mawakili wa serikali ni mbumbu wa sheria na walikurupuka kupeleke shauri hilo mahakamani.
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,482
  Likes Received: 1,844
  Trophy Points: 280
  jee kesi ya fedha chafu 18bn ameshinda au bado inaendelea?wana jf mwale anaweza sema pesa zote hizo kapata wapi?
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  je yupo nje ? na je kesi imekwisha?
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  source pls
  kashinda kesi zote au ni ipi unazungumzia
  kwnai ana mashtaka mengi
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Hili ni tatizo lingine linaloitafuna nchi. Wanasheria na mawakili wa serikali, tena serikali zote, yaani kuanzia serikali kuu hadi ya mtaa, hakuna kesi wanazoshinda zaidi ya zile za uchaguzi. Utadhani wakianza kazi taaluma inayeyuka?
   
 6. m

  mchambakwao Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa sawa tu,serikali ya kishkaji.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Mawakili wengi wa serikali elimu yao ni ya kuunga unga tu ndo maana wanabwagwa sana
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,455
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Taarifa haijakamilika hii.. funguka taratibu na kwa ufasaha.. je kaachiwa huru na hana kesi ya kujibu au kapangua kifungu kimoja tu?
   
 9. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,073
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  manake nini hapo kama nawe hukuelewa?
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Nasikia huwa wanauza kesi
   
Loading...