Wamisri wapinga hukumu dhidi ya Mubaraka,waandamana kutaka ANYONGWE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamisri wapinga hukumu dhidi ya Mubaraka,waandamana kutaka ANYONGWE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 3, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Maelfu ya raia wa Misri wameandamana kupinga hukumu ya aliyekua rais wa misri bwana Hosni Mubaraka,raia hao wamesema wanapinga hukumu hiyo kwa kudai kuwa ni ndogo,wangependa kusikia anahukumiwa kunyongwa hadi kufa,maana aliua waandamanaji wengi sana TAHRIRI ,iweje leo ahukumiwe kifungo cha maisha?????
  *hii ni changamoto nyingine tena ya utawala wa kijeshi nchini misri
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera zenu mafarao kwa kujitambua huku tanzania kesi kama hiyo utasikia niacheni nipumzike, au ni upepo tu huo,au jalada bado analo mfalme ****,utasikia haa arusha sasa ni mahali salama,aaaaaa profesa mwaikyusa huku mambo shwari wamebana sasa wameachia.
   
 3. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 35
  Wamanga wa afrika mikosi!yaani huyo mubarak hata angeamuriwa anyongwe bado wangeandamana kupinga hukumu na kutaka achinjwe na si kunyongwa!
   
 4. D

  Dr.Mbura Senior Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umenifurahisha sana
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahhaaa,,,,,hapo juu wote mmenifurahisha
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  umeona eeeenh,,,,,binadam hatufanani bhana,,,,,,nadhan na hukumu imetoka wakat mujarabu
   
 7. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dr:mbura tembelea nchi zao fananisha maendeleo yao na ya nchi yako!!!utajua waliamka kitambo ndio maana kiongozi fisadi wanamng'oa hata kwa maandamo na bila kujali watakufa wangapi,hii si mara ya kwanza kwa misri kumng'oa raisi wao kwa maandamano,mnamo miaka ya 80 walimng'oa fisadi mmoja kwa mfumo huo huo!!!hata mimi nilifikiri itatoka hukumu ya kunyongwa,hii ya kifungo cha maisha bado ni nyepesi kwake,ni haki yao warudi kuandamana tahrir tena,hakuna kuonewa nchi yao lazma waishi kwa uhuru wa kutosha.
   
 8. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,876
  Likes Received: 4,257
  Trophy Points: 280
  Wamisri nao km wana UAMSHO tu, kwani kunyongwa au kufungwa maisha kwa Mubarak inawaongezea au inawapunguzia nini?
   
Loading...