Mikono ya Aron Kisaka wa Sumatra, imejaa damu ya ajali za barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikono ya Aron Kisaka wa Sumatra, imejaa damu ya ajali za barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Jun 3, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Kila siku tuna lalamika kuhusu ajali barabarani, na sumatra wanakuwa wanajitetea eti ni mwendo kasi wa dreva.
  Huo ni uongo mkubwa.
  Vifo vya barabani hasa vinavyo sababishwa na magari makubwa, maroli na mabasi ni uzembe na ubadhilifu ndani ya sumatra.
  mumiriki wa basi au roli haruhusiwi kupewa reseni bila kuonyesha mkataba wa dreva, but matajiri wamekuwa wakipeleka mikataba fake ya madreva ili wapate reseni, wakishapata wanaenda kuokoteza madreva wasio na sifa kwa ujira mdogo. sumatra wanaangalia tu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,447
  Likes Received: 22,364
  Trophy Points: 280
  Sumatra kuzuri, rushwa nje nje, lakini mwisho wa yote haya, ipeni CDM nchi 2015 itokomeze janga hili
   
Loading...