Umejiandaaje?

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Mapumziko ndio yako ukingoni, umejiandaaje na shughuli zako kesho mwanzo wa wiki? Je katika mipangilio yako ya mwaka huu umefikia hata nusu? Sababu leo hii tuko katikati ya mwaka,pamebakia miezi 5 na siku kadhaaa, tafakari na chukua hatua
 
Back
Top Bottom