Ugawaji wa vitalu vya uwindaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugawaji wa vitalu vya uwindaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UNO, Jun 3, 2012.

 1. U

  UNO Senior Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika taarifa ya habari (ITV) Changamoto mbalimbali zimetolewa kuhusu ugawaji wa vitalu vya uwindaji. Swali langu wana JF. Hivi umuhimu wa kugawa vitalu ni nini? Serikali inapata nini hasa ukilinganisha na kutogawa vitalu hivyo. Hivi ina maana wanyama wanapaswa kupunguzwa? Mbona kuna kung'ang'ania sana hivyo vitalu? Hasa kwa watu wa nje.....Kama kuna waliosomea wildlife watujuze; ili watanzania tujue namna gani tunapaswa kulinda rasilimali zetu. Hivi na nchi nyingine wanafanya the same?? Kuna siri gani katika vitalu hivi????
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  utamu wa ngoma.......ingia ucheze........
   
 3. i

  iMind JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,907
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Swali zuli sana. Sisi tunaofanya biashara ya utalii tunajua na tunaweza kukujibu.
  Kimsingi ni kwamba biashsra ya uwindaji inaingiza bkama bil 12 fedha za kitanzania kwa mwaka. Katika ekolojia ni muhimu idadi ya wanyama ikapunguzwa to a managable population. Mfano usipopunguza idadi ya mamba mito yote itajaa mambo na hakuna shughuli yoyote ya kiuchumi itafanyika katika mito hiyo kama uvuvi na kilimo cha umwagiliaji. Hali kadhalika tembo wskuwa wengi wataharibu mazao mashambani na kuua watu. Hivyo nchi ni kazima zijue kiwango cha kila wanyama ambao wanaweza kuwa managed bila kuathiri shughuli nyingine za buashara. Hivyo excess numbers zinatakuwa ziuwawe jw kula spicie. Biashara ta uwindaji ni vert tricky na inafanywa na matajiri wa kizungu.
  Kwa mfano kuwinsa tembo mmöja mtu analazimika kutumia dola ziadi ya elfu kumi. Hii ni dhahri kwamba lazima mtu awe nazo.

  Sasa mantiki hiyo ugumu upo katika kutafuta na kuwapata watu wanawrza kuwinda. Ndo maana buashara hii iko dpminated na wazungu.

  Idara ya wanyamapori inataka idadi fulani ya spice fulani iuawe kila mwaka ili ku maintsin stability na kuiwezesha kuendelea kulinda wanyama wanaobakia.

  Inshort kulinds wanyama kunahitaji fedha nyingi ambazo bila kuuwa wengine haiwezekani kupata hizo fedha.

  Pia kwa wazawa kuna changamoto ya kuweza kupata wageni wa kuwinda, jambo ambalo linafanya wazawa wanaopsta vitalu kuvilkodisha kwa wazungu na kuishia kuwa middle mens.
   
 4. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kwa kujifagilia wewe?! C mchezo.
  Nimekupa like. Nimeelewa majibu yako.
  Mwisho kabisa, Baba/mama ulikua unatoka nduki huku unajibu hoja? Maana naamini kuna watu vichwa ngumu hawataelewa ulichoandika, yaani mimi nimeungaunga herufi zako na nikapata maana
  Thanx for the xplanation, n ways.
   
 5. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yeyote mwenye kutaka habari za vitalu amwulize mwandishi Manyerere Jackton, ambaye nasikia yupo gazeti la Jamhuri. Huyo mtu kaandika habari za vitalu kwa miaka mingi sana. Anajua mbinu zote za Idara ya Wanyamapori na vitalu vya uwindaji wa kitalii.
   
Loading...