Wakristo musituvuruge Wz'bar agenda ni siasa kuhusu Muungano na sio dini mutakosa . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakristo musituvuruge Wz'bar agenda ni siasa kuhusu Muungano na sio dini mutakosa .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kakke, May 30, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  makame silima 30/05/2012 kwa 8:08 um · Ingia kujibu


  Zanzibar imekuwa na waumini wa kikristo tokea enzi ya Sultani na tunaishi nao kama ndugu lakini wamekuja Maskofu kutoka Tanganyika wanaotaka kuwa juu zidi ya wanyeji ambao 99% ni waislamu wa Zanzibar wa bibi na babu.

  Musituvuruge Wazanzibar mukakosa utulivu, agenda ya wazanzibar Serekali wanaijuwa kuwa ni Muungano na sio udini, dini wazanzibar Tayari wanayo.

  Isiwe ccm kuchoma kanisa na kuwaparaganya waumini wa dini ndio na nyiyi wachunga kujaa tele,patawashinda Zanzibar na mutakosa udulivu na musizani kuwa jeshi la polisi litawaekea walizi mitaani katika jamii ya Wazanzibar.

  Tunasema musituchokoze wazanzibar nikidogo lakini udogo wetu wa nyuki na sio wingi wa Nzi tukishahadia kuachana na ccm mutapata tabu Zanzibar.

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/271364-viongozi-wa-smz-wazuru-israil-kwa-ziara-ya-kikazi.html#post3965285


  Hii kwenda Israil hawa kurudi baalaa? Kulikuwaa na Agenda nyuma ya Pazia .
  Wale wasemao kuwa kwenda kwa watu hawa Seif Idd na Mtoto wa Lamu Israil hakuna heri kwa wananchi wa kislamu wa Zanzibar inawezekana ikawa kwela.
  Tarehe 11 May 2012 watu hawa walikwenda Israil ili kwa kisingizio cha ziara ya ki-Serekali ili kwenda kuomba msada na mipango ili kukabiliana na majanga yatokeapo Zanzibar.
  Sasa majanga yen ewe ni haya , Kanisa na Uislamu ,Uamsho ni kisingizio tu ,lakini agenda ilikuweko Zamani ikingojewa tu itokee kwa staili ili na wao watimize lao.
  Ikiwa ni Kanisa na mambo mengine kuchomwa moto? Kwani ukristo Zanzibar umeanza jana na leo? Mbona yale Mahekalu ya Mkunazini na Minara miwili yapo tokea Enzi ya Utawala wa Ki-Sultani na Watu wanafanya ibata zao bila kunyukuliwa?.
  Kuna watu nyuma ya mwevuli wa kisiasa wasio ipenda toka hapo awali Serekali ya Umoja wa Kitaifa SUK na kufanya kila njama kuleta vurugu la kutumia udanganyifu wowote ili kuvuruga mchakato wote.
  Na hivi sasa wamepata kisingizio cha Kanisa basi ngao ni hio, tunao wa kirsto Wzanzibar wako kimya na wanajuwa ukweli kuwa hizi ni njama za wana siasa kutumia Wakristo wa Tanganyika (Maskofu wahamiaji ) kuleta vurugu kwa kisingizio cha udini kumbe agenda ni nyingine.
  Hawa hawato fanikiwa zidi ya wenyeji ambao 99% ya Wazanzibar ni Waislamu na wako kwao kwa bibi na babu.
  Kusema Uamsho wamefanya fujo eti kwa kuhubiri na kufanya maandamano ok? Lakini katika maandamano yao kauri na nini?.
  Na kama kuhubiri kwa maneno ya uchechezi lipi la uchechezi walilosema kuvunjwa kanisa au kupigwa watu wa tini nyingine?.
  Zanzibar kuna freedom speech ya mtu kuzungumza vyovyote na kama ni uchechezi kusema basi Tunakwendaa kwenye misa za wakristo na humo hamusemwii Maskofu hutapika kinyesi mbona hawa kamatwi kama kusema ni kukamatwa ?.
  Na wengi wa Maskofu hao ni Watanganyika wamekuja tu hapa Zanzibar kwa kisingizio cha Muungano, na hivi sasa watumiliwa kwa majukumu ya kisiasa ku-spry sumu kwa wafuasi wao kwa matokeo mbali mbali ya hujuma .
  Wengi wao hujiandikicha Zanzibar mara mbili kupiga kura na kufanya vitendo vingi tu visivyo endana na utamatuni wa Zanzibar , sasa kama wanataka kuonja sumu kujuwa kuwa inaua au vipi na watuchokoze ,watajuwa wazanzibar ni watu gani?.
  Tumiliweni na wana siasa muone mutaishi vipi na jamii ya kizanzibar?. Tutatumia dini yetu kama silaha ya kuungana.
   
 2. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengi wao hujiandikicha Zanzibar mara mbili kupiga kura na kufanya vitendo vingi tu visivyo endana na utamatuni wa Zanzibar , sasa kama wanataka kuonja sumu kujuwa kuwa inaua au vipi na watuchokoze ,watajuwa wazanzibar ni watu gani?.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  waambieni kwanza bilal na kina Mwinyi waachie madaraka wanayohodhi ndani ya muungano kwanza ndio tutawaelewa kuwa muko serious mnaopiga makellele ili hali wabunge wenu bado wanaenda dodoma kuchukua posho na bilali kila siku yuko huku bara anafungua makanisa na zahanati ..
   
 4. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyinyi ni Al-queda a.k.a Al shaabab tu! Huwezi kuchoma kanisa lisilo na uhusiano na siasa.Hebu muwe wastaarabu. Kimsingi nyinyi mnatunyonya Watanganyika iwe ktk mikopo ya elimu ya juu, uwakilishi ktk bunge la muungano, kumiliki ardhi mainland,etc. Na jinsi msivyo na akili ivi mnategemea baada ya kuwafukuza wabara hapo ndo mtakaa salama miongoni mwenu kati ya Pemba na Unguja! Subutu nyi ni mabaguzi tu wabaya kuliko mkoloni. Dawa yenu ni kuendelea kuwatawala kama ilivyo sasa.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hivi vurugu zote ambazo zimetokea Zanzibar miaka na miaka ni kwa sababu ya Wakristu? Ndio maana tunataka Muungano ufe ili muwafukuze hao maaskofu mbakia na hao Wakristu "wenu" ambao hamtaki waongezeke au waeneze dini yao - kwa vile Zanzibar tayari ina dini - halafu tuone kama wenyewe kwa wenyewe hamtovurugana. Kwani Libya, Somalia, Chad, Syria, Iran wote wamegombanishwa na maaskofu? Hadi mtakapotambua kuwa tatizo lenu siyo watu wa bara ndio mtaweza kidogo kuanza kushughulikia matatizo ya Zanzibar.

  Lakini kama ni wakristu wa bara -serikali yenu mnayo na bunge lenu mnalo leteni mswada wa kutangaza Zanzibar kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu na kuweka mipaka ya wapi Wakristu wanaweza kuabudu au kujenga makanisa. Kuna ugumu gani? Si walijaribu kuleta mswada wa kuzuia ajira kwa watu wa bara na nusura upite? Kina Jussa na wenzao walete mswada wenye kulinda "mila, historia na desturi" za Zanzibar ikiwemo kuzuia kuongezeka kwa Wakristu visiwani humo.

  HIvi hamfikirii kwamba kuwatendea Wakristu vibaya hivyo kunaweza kuwafanya watu wengine ndio wawe na udadisi zaidi na huo Ukristu? Maana, tabia ya vijana iko wazi sana kile unachomkataza kufanya ndicho hicho anajitahidi kukifahamu.
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Siriya wananchi wake wanakufa kila kukicha....Je huko nako kuna wabara na ukristo?
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,905
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Umechanganyikiwa , nahisi unatafuta kanisa la kulichoma moto!
   
 8. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  **** usiyejua unaongea nini kwa kuwa tu umetumwa. Povu linakumiminika mdomoni na kiswahili chako kibovu cha MUNA muna na zidi badala ya dhidi. Hivi ubaguzi ndio tija ya maisha yenu?

  Kuna wapemba wangapi DSM, TANGA na MTWARA ambao wamekaa bila bughudha ya udini kama mnavyofanya nyie watumishi wa shetani ambao hamuwezi kuishi bila manunguniko? Sasa Maaskofu wamekufanyeje? Wao ndio walichoma makanisa? Muungano unaletwa na kanisa?

  Nyie tumewazoea, na hata mimi naombea huu muungano ufe halafu tuwatimue wale wapemba waliojazana Ilala na Buguruni wanatuchafulia jiji kwa kuzaa hovyo na kurundikana. Mnabipu eeeeh, tulieni, hata sisi tunataka Tanganyika yetu
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hauwezi kutofautisha
  uchomaji wa makanisa na uislam
  kwani si mara ya kwanza mnafanya hivyo. Mmekuwa mnanachoma mara nyingi, hakika MUNGU
  atawalipizia kwani mkono wake ni mrefu.
   
 10. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wapeni zanzibar yao, msibishane nao mnavyobishana ndo wanaona mnawaonea wazanzibari. Wapeni zanzibar yao.
  Hebu sikiliza hapa ujumbe.

  Mtoto Akililia Wembe - YouTube
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haitakaa iwezekane kamwe mwana haramu wa Ibrahim Ismael amtawale mtoto Wa ahadi wa Ibrahim wa MUNGU ISAKA AMTAWALE Isaka. Hiyo ni now!! Haram ni haram tu!.
   
 12. l

  london JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi km waislamu ni 99% ndo mnyanyase wakristo? Kama mnaimani thabiti kwa nini msiwaache wanaotaka kujiunga na ukristo wafanye hivyo na nyie mwendelee kuvuna wakristo. Jamani kumbukeni sisi ndugu zenu wa damu wapo wanyamwezi, wanyakyusa kama akina Mwakanjuki tena kazikwa zanzibar, wapo akina sepetu kwa kutoa mfano tu mdogo. Hivi kweli kanisa laweza kuchomwa saa 9 alasiri na watu wasikamatwe, jamani acheni mzaha. Hatuko serious kuachana na vurugu za kidini. Serikali kupitia polisi hawafanyi uchunguzi wowote kazi kuwahadaa watanzania kuwa wanashugulikia. Mbona kila mwaka makanisa yanachomwa? Hivi leo ungechomwa msikiti ingekuwaje? Mbona polisi wa zanzibar wako haraka kukamata watu wanaokula wakamati wa mwezi ramadhani kana kwamba waisamu hawawezi kuyashinda majaribu, mbona waislamu wa bara wanafunga na wanawaona wenzao watu wengine wanakula na hawkwaziki? Mbona wakristo wakifunga waislamu mnakula vyakula nje nje tu hapo zenj. Acheni vurugu mnaharibu sifa ya utalii. Ni vyema mkajibidisha katika taaluma na kazi ili mwendane na ushindani wa kidunia badala ya kulalama na kutafutia visingizio, ama kweli mbaazi akikosa maua husingizia jua. msiwe na chuki na wabara wanaofanyakazi huko kwani wanalipa kodi kwa serikali yenu hata nyie hamjazuiliwa ila kunasumbua kuingiza udini kwenye kazi ndio maana mnashindwa kuajiriwa na wawekezaji wa nje ambao wanataka kuona productivity sio visingizio vya hapa na pale ili kutega kazi.
   
 13. A

  August JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kama tatizo ni muungano kwanini mtumie njia za secretarian kutimiza malengo hayo, kwanini mtukane mfumo kristo kama ndio sababu kuu ya muungano, au mchome makanisa au kwanini muhadhara uwe address kwa waislamu kama vile zanzibar ni ya waislamu tu.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wakristo wamekikwaa kisiki safari hii Zanzibar na bara.
   
 15. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeamini hawa yafaa watawaliwe wasifurukute.dini isiwe kisingizio wabanwe mpaka wakae kwenye mstari. alishindwa idd amini watakuwa hawa al shabab!
   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Acheni ile, nani amevuruga wenzake kwanza? na sana mnawapa wakristo ultimatum? Shame on U all!!!

  Yaani Mna Nguvu hizo kweli? Yeah tunaona ya Syria, ya Bahrain ubabe ubabe tu
   
 17. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu kule zanibar anauwazia urais tu na anadhani watanzania bara ndio wanao mzuia kuupata kwa sababu ya influence ya ccm.sasa ili apate kuungwa mkono na watu wengi amejificha kwenye kivuli cha dini!lakini adui wa umoja wetu na muungano kwa ujumla ni maa.....Enzi za mwalimu huyo angekuwa lock up zamaniiii.HAAMINIKI MFUGA NDEVU HUYU
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwendeni zenu.........Mfumo Kristo wenu na ubara wenu mwisho Chumbe........
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  kama makanisa ya kuchoma Zanzibar yameisha njoo bara yapo mengi
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  majini kitu kibaya sana............. heri walio masikini wa roho, maana ufalme wa mbinguni ni wao
   
Loading...