Live on STAR TV: Bajeti ijayo nini kifanyike?

Mada: Nafasi ya wabunge katika bajeti ijayo nini kifanyike.

Namuona mh Mpina na mh Kangi Lugola, kwenye bunge la bajeti lijalo hapatatosha kabisa wabunge wa ccm wanahasira sana, jamaa yanatishia kugomea bajeti.
 
Back
Top Bottom