Ushauri wa Bure kwa Waandishi/Wachambuzi wa Habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Bure kwa Waandishi/Wachambuzi wa Habari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mngendalyasota, Jun 7, 2012.

 1. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF
  Judgement na conclusion iliyotolewa jana tarehe 6/6/2012, saa 11:45 na mchambuzi mmoja wapo wa kituo cha REDIO CLOUDS kwenye kipindi cha JAHAZI ilionyesha Dr Mwakyembe kafanya maamuzi ya kimaonezi kwa kumsimamisha kaimu mkurugenzi wa ATCL. Mchambuzi huyo wa habari alifika mbali hata kujadili asili ya jina la aliyeteuliwa kukaimu nafasi hiyo kumhusisha na Mwakyembe. Lakini jambo la kushangaza leo mchambuzi huyo huyo(kwenye kipindi hicho hicho cha JAHAZi) kaonyesha kusikitishwa sana na hujuma zilizofanywa na management iliyosimamishwa ya ATCL hasa baada ya waziri Mwakyembe kuweka wazi aina ya madudu waliyofanya.
  Ushauri wangu kwa waandishi/wachambuzi wa habari/matukio waweke pembeni personal emotions ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa wasikilizaji.
   
Loading...