Msaada Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Msaada

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng`wanakidiku, Jun 7, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Untitled.jpg SADOCK MGHAMBA.jpg

  MSAADA KWA SADOCK MGHAMBA

  Ndugu wapendwa
  tunatafuta ndugu wa Sadock Mgamba ambae anaumwa sana huko Dodoma. Wote tunaomfahamu Sadock tunajuana kama rafiki yetu wa karibu, lakini kwa bahati mbaya hakuna anayemjua ndugu yake wa karibu. Kwa sasa yeye ni mgonjwa kiasi cha kushindwa kuwataja ndugu zake.
  Tunaomba sana kwa yeyote anayefahamu ndugu yake aliko au anajua mtu yoyote wa karibu tunaomba awasiliane na Mchungaji Fue wa Tumaini University anayemhudumia mgonjwa wetu katika numba ya simu 0754823970 . Information za Sadock ni kama ifuatavyo:
  1. Birth date: 01/07/1969
  2. Place: Mwanga Kilimanjaro
  3. Primary school: Mfinga iliyoko Ugweno/Usangi
  4. Secondary school: Shigatini
  5. Next of kin: Godfrey Mghamba (brother) Box 1103 Arusha
  Rahib Mchomvu (brother) Box 10476 Dar
  Pia Sadock amesoma ACCA pale Salford Greater Manchester UK na alifundisha Tumaini Mwaka 2007 na 2008.
  Kila mtu asomae ujumbe huu tunaomba sana amjulishe mwenzake ili tufanikishe kazi ya kumtafutia rafiki yetu Sadock Mghamba ndugu zake
  Kwa kuwa alisoma shule ya msingi Mfinga inafikiriwa kuwa huko ndiko nyumbani kwao ambako ni Ugweno au Usangi.
  Tumwombee Sadock Apone Haraka
  Tafadhari sana tuma kwa marafiki zako ili tufanikishe zoezi hili
  Source: Marafiki wa fb!
   
Loading...