Duu!! Hata kwenye magazeti mtusi yanaruhusiwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duu!! Hata kwenye magazeti mtusi yanaruhusiwa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gango2, Jun 7, 2012.

 1. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,041
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  duu, hili gazeti sikufanikiwa kuliona lakini leo nimelibamba, kweli waandishi wa habari bongo kazi bado tunayo...!!

  hii kali sana.jpg

  hivi MA'MAKE maana yake ni nini jamani!! au mimi naelewa vibaya!!
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,041
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mi nahisi waandishi wa habari wengine wanavuta kwanza bangi kabla ya kuandika habari!
   
 3. g

  genesisbryne Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh makubwa hayo!! kwani hamnaga wahariri kwenye magazeti hayo!!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Manaake mama ake kifupi ma'make
   
 5. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Piga ua Galagaza, kinoma noma, kudadeki etc..Yote haya ni maneno ya kihuni ambayo hayapaswi kutamkwa au kuandikwa na mwandishi au mtu yoyote mwenye busara. Tuwe makini jamani.
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Kuna Herufi 2 nyuma zimekosekana! -!!?? Ma!Make! kama utaziweka basi mtapata ni nini muandishi wa hilo gazeti alivyo na hasira na timu ya Yanga! Hii tunasema uhuru wa viombo vya habari.
   
 7. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,041
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  kweli nimeamini huu ndo uhuru wa vyombo vya habari!!!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,499
  Likes Received: 3,372
  Trophy Points: 280
  Wahariri wenyewe ndio wanaongoza kwa kuharibu lugha na kuandika matusi, sasa hapo mwandishi mwenyewe ndio karuhusu huo upuuzi.....
   
 9. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,041
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160

  mama ake anaingiliana vipi na yanga hapo kaka?

  mi nafikiri kasahau kuandika neno 'KU' kable ya hayo maneno!!
   
 10. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,199
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  uuuuuuuwiiiii!!!!!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,288
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  usishangae migazeti ya matusi ndo inanunuliwa
   
 12. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi ipo,huyo utakuta na kwenye siasa anaandika,hapo lazma tupate maendeleo
   
Loading...