Nape na kauli za"kinyago kisichomtisha mchongaji" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na kauli za"kinyago kisichomtisha mchongaji"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwananchi wa Kawaida, Jun 8, 2012.

 1. Mwananchi wa Kawaida

  Mwananchi wa Kawaida Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Bwana Nape Nnauye anasema eti wanaohamia upinzani hawawapi pressure kwa kauli kwamba hakuna chama cha upinzani kilichoanza bila wanachama kutoka CCM na kinyago wachonge wenyewe halafu kiwatishe?

  Hivi ana maanisha nini? Ni wao ndo wanaanzisha upinzani au wamekosa counter act measures? Mh!!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280
  Nape hajui hata hezabu za darasa la kwanza.
  Anasema CCM ina mtaji wa wanachama milioni sita, haiwezi kufa.
  Wakati huohuo wanachama wanaikimbia CCM.
   
 3. M

  MpendaMabadiliko Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nape huo ni ulevi wa machana kweupe! CCM ina wanachama ml.6. Watanzania tupo takribani ml.40.

  Je wanachama wote wa vyama vya upinzani wametoka CCM?

  Nina wasiwasi kama nape alikuwa anafanya vizuri darasani hasa katika somo la hesabu!
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,512
  Trophy Points: 280
  Nilimsikia jana nikamuangaliaaa.... sikummaliza halafu nikacheka.
   
Loading...