Waandishi wa habari Tanzania wapigwa bao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari Tanzania wapigwa bao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by EMT, May 21, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  CNN imetoa majina ya waandishi wa habari kwa ajili ya CNN Multichoice African Journalist 2012 Finalists. Ukicheki majina hakuna hata Mtanzania mmoja. Wakenya na Waganda wapo wa kumwaga. Pasco vipi inakuaje tena? Udaku umezidi nini kwa waandishi wetu wetu wa habari?

  There are 34 finalists from 12 countries:

  1. Tunde Akingbade, Freelance, The Guardian on Sunday,Nigeria
  2. Joshua Anny, Joy FM, Ghana
  3. Manar Attiya, Ahram Hebdo, Egypt
  4. Adriaan Basson & Piet Rampedi, CityPress,South Africa
  5. Najlae Benmbarek, 2M TV, Maroc
  6. Demelza Bush, Craig McKune & Verashni Pillay, Mail & Guardian Online, South Africa
  7. Ramusel Graça,Televisão Santomense, São Tomé e Príncipe
  8. Arsénio Henriques, Soico – STV, Moçambique
  9. Edward Echwalu, Freelance for The Observer,Uganda
  10. Teresa Sofia Fortes, A Semana, Cabo Verde
  11. Isabel João, Novo Jornal, Angola
  12. Ahaoma Kanu, National Daily Newspaper, Nigeria
  13. Tom Mboya & Evanson Nyaga, Citizen TV,Kenya
  14. Andrew Mulenga, The PostNewspaper,Zambia
  15. Nimrod Taabu Mwagamoyo & Charles Kinyua Kariuki, NTV,Kenya
  16. Waihiga Mwaura & Jephitha Mwai Mwangi, Citizen TV,Kenya
  17. John Muchangi Njiru, The Star,Kenya
  18. Peter Nkanga, Elor Nkereuwem, Musikilu Mojeed & Idris Akinbajo, NEXT on Sunday, Nigeria
  19. Antoine de Ras, The Star,South Africa
  20. Megan Small & Clive Mtshali, 3rd Degree, e.tv,South Africa
  21. Stephen Ssenkaaba, NewVision,Uganda
  22. Joy Summers,Carte Blanche,South Africa
  23. Gerald Tenywa, SaturdayVision,Uganda
  24. Nelson Wesonga, DailyMonitor,Uganda
  The winners of the competition will be announced at an Award Ceremony and Gala Evening in Lusaka, Zambia on Saturday 21 July, 2012. The hosts for the evening will be Isha Sesay, host of CNN International's NewsCenter and Franklin Tembo Jnr, ZNBC presenter.
   
 2. A

  Awo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Waandishi wetu wa habari wamezidisha ushabiki kwa Kikwete ili awateuwe kuwa wakuu wa wilaya! Hakuna professionalism hivyo kwenye hiyo list hawezi kuwemo. Wasubiri Kikwete aunde wilaya mpya wapate kuwa wakuu wa wilaya.
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  noted....
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Uandishi wa habari umekuwa kama daraja la kuvusha kulekea kwingine.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,570
  Likes Received: 18,335
  Trophy Points: 280
  Mkuu EMT, Tanzania tunao waandishi wengi tuu wazuri ila nadhani hawakujisajili kugombea tuzo hizo, nimeona South Africa wako 10, Kenya 8, Nigeria 6, Uganda 4, inamaana Tanzania tungeomba, tungepata!.

  Watanzania tuna tatizo la kutokuwa na uthubutu, hili mdilo linalotufanya hatuombi kazi za maana, hatutafuti scolarship za maana, hatuombi vyuo vya maana, na wengi wetu wanaishi huko ughaibuni hawafanyi kazi za maana!.

  Ila Watanzania ni wazuri sana kulalamika, kulaumu na kukandia pale mwenzetu anapopata!.
   
Loading...