Nyerere na Sokoine wakifufuka wataomba kurudi kuzimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere na Sokoine wakifufuka wataomba kurudi kuzimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwetu Kwao, Jun 8, 2012.

 1. K

  Kwetu Kwao Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Henzi zao haya yalikuwa mwiko rushwa,unyonyaji,kuchanganya biashara na uongozi,kujilimbikizia mali,walisisitiza umoja wa nchi na chama,walipinga ukabila,UDINI,ukanda, ukupe,kutoa nje siri za nchi na chama,elimu bora,uwajibikaji,walihemu Tunu za watanzania,maendeleo ya vijiji,n.k lakini hali kwa ss ipoje? nitadadavua UCHAMA na UDINI Imefikia hatua hata chaguzi ndogo ndani ya NGOs, vyama vya michezo,Taasisi n.k zinaendeshwa KICHAMA & KIUDINI!! mdudu hayu ameanza kutafuna hata taasisi za elimu mashuleni mpaka vyuo vikuu utasikia fulani ka2mwa na CCM/CDM o Baraza fulani la kidini simpi kura yangu utafikiri 2nachagua wawakilishi wa kwenda mjengoni!! Kama hujui hata VVU vinaenezwa kiUDINI ilimradi 2 dini fulani ipotee. 2sipobadilika yata2kuta ya Somola Gomola
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Rudi darasani ujifunze kuandika maneno vizuri! Una hoja ila uandishi wako ni kero. Kumbuka hapa sio Facebook.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,056
  Trophy Points: 280
  Naona makolokocho tu.
   
 4. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,011
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  Utani mwingine bwana!!!


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
Loading...