freemason live clouds fm and clouds tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

freemason live clouds fm and clouds tv

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Jun 7, 2012.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jamani dunia imekwisha yaan sasa mpaka kwenye vyombo vya habar sikiliza clouds fm sasa hv
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  wanasemaje?
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mwakilish anadai fremaso ni waash huru so wao ndo wanamwabudu isa au YESU
   
 4. kipenga

  kipenga Senior Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  jamaa amejiweka hadhalani kuwa ni freemason, anatoasiri na ishara mbalimbali za freemasons, just watch and listen nw.
   
 5. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  1. Haitaisha mpaka Mungu apende.
  2. Labda redio za bongo, mbona habari zao zipo kwenye vyombo vya habari (blogs, magazeti, websites etc) duniani muda mrefu tu...
  3. Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

  Ujinga mtupu.


   
 6. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  nipo kwenye daladala nawaskia clouds fm. Wanadai kwamba kila mtu ni freemason
   
 7. m

  mamajack JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wapuuzi hao hawana lolote wezi tu,hawajui lolote kuhusu wanchokiongea.
  hao ni waganga wa kienyeji.
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  hao ni wezi tu hawana lolote.
   
 9. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  anadai wakatoliki wote ni fremason.
   
 10. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

  Ujinga mtupu.
   
 11. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

  Ujinga mtupu.
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mto amada na wewe
  et wanatoa siri mb alimbali...SASA WANAONGEA NIN AO?
  Matapel ao wa magomen awajui ata kuongea
  sjui wachaw...wanajiuma uma awajui lolote...WANAJIKANYAGA TU na kupoteza muda wa dina  mhh wajinga hatar
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  yaan ni wajinga mpk nukta
   
 14. M

  Mukalunyoisa Senior Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waganga wa kienyeji hawa
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mission yao ninini hasa?
  Wanasemaje kuhusu Kanumba?...walimuulia nini?
   
 16. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  hata sifungui tv wala redio kuwasikiliza upuuzi mtupu.
   
 17. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  wanajieleza kwa shiiiida,Matapel tu hao inavyoonekana ni waganga wa kienyeji wajitangaza alafu kujitangaza kwenyewe hawajui
   
 18. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,411
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Dina ameamua kumaliza kipindi kiaina! Jamaa hawajui wanachokiongelea! Upuuzi mtupu!
   
 19. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  nimewaskiliza, wanajarbu kujenga hoja kwamba waislam wakristo na wao lengo lao wote ni moja. Mnakubaliana na hili wakuu?
   
 20. kipenga

  kipenga Senior Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yawezekama coz wanajiumauma2.
   
Loading...