Wasanii Tanzania na Ulipaji kodi

Andre02150

JF-Expert Member
Feb 2, 2010
332
128
nasikitika kwamba wafanyakazi hapa nchini tunakamuliwa kwelikweli na kodi (PAYE) na wakati huo huo kuna wasanii kibao wanaingiza mapato na hawatozwi kodi hata centi moja zaidi ya kujirusha kila kukicha. nafikiri ni vyema mamlaka husika, TRA ikalitupia macho ili suala na kuanza ukusanyaji kodi haraka.
 
Mapato yote ya wasanii yanaliwa na wahindi wanochangia kampeni za CCM
nasikitika kwamba wafanyakazi hapa nchini tunakamuliwa kwelikweli na kodi (PAYE) na wakati huo huo kuna wasanii kibao wanaingiza mapato na hawatozwi kodi hata centi moja zaidi ya kujirusha kila kukicha. nafikiri ni vyema mamlaka husika, TRA ikalitupia macho ili suala na kuanza ukusanyaji kodi haraka.
 
Kama wahindi kula mapato, basi wanakula mapato ya CD na Videos. Lakini wasanii hawachangii hata stahiki zinazotokana na mikataba yao na wahindi..na mbaya zaidi hawachangii kutoka kwenye mapato yanayotokana na 'SHOW' wanazozifanya. Binafsi yangu nimemsikia Diamond akifunguka Clouds kwamba hafanyi Collaboration bila kuwekea 10m mezani. Cc wafanyakazi katika formal sector serikali inatukata PAYE bila huruma kiasi kwamba mshahara haujai mkono!
 
Back
Top Bottom