Jamani hili tamko la vitisho kutoka kwa RC wa Dar Merck Sadiqi limekaa sawa? Ametangaza kwamba serikali itawachukulia hatua madaktari wote watakogundulika wanafanya mikutano ndani ya maeneo ya...
Waziri wa Afya Hussen Mwinyi amesema meza ya mazungumzo na madaktari imefikia ukomo, mengi ya madai yao yamekwisha tatuliwa(eg.kujiuzuru kwa watendaji wa wizara,call allowance,postmortum allowance...
Hakuna kada yenye viongozi dhaifu kama ya ualimu..mishahara ya wanaowaongoza iko chini ila wao hawana shida wamelala fofofo
angalia viongozi wa kada ya afya pamoja ya kuwa mishahara ya...
WanaJF
Mgogolo mkubwa umetokea kati ya DC Estelina KIlasi na wananchi wa wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya yeye kutaka ujenzi wa makao makuu ya wilaya yawe Mdandu na siyo Igwachanya kama...
It's a feat most able-bodied people would struggle to achieve - scaling one of the highest peaks on the planet.
Spencer West managed it using just his hands.
The 31-year-old, from Toronto...
Wakuu hii imekaaje? Nimesoma makala ya Kicheere katika gazeti la Mwanahalisi jana kuwa JK alifanya safari kwenda Brazil na shughuli iliyompeleka ni kumshawishi Maximo kuja kuifundisha timu...
Jana nimeshuhudia viashiria kadhaa vya kuanza kufeli kwa zoezi la uandikishaji wa wananchi mitaani katika zoezi zima la utoaji wa vitambulisho vya Taifa.
Nilipita katika ofisi za kata za...
wakati umefika serikali iweze kubadili mfumo wa ajira hasa kwa management za halmashauri zetu.kuna baadhi ya halmashauri zinafanya vizuri sana lakini nyingine huwezi kuamini.watu wenye uwezo wa...
Am a customer of Airtel modems. I bought one after seeing the advert that the modems cost 30,000/=tshs and have free internet for six months only to realise that the advert is far from the truth...
Jamuhuri imetoa vithibitisho kwamba (ELIZABETH MICHAEL)Lulu ana zaidi ya miaka18.
Aidha mawakili wa Jamuhuri wakiwakilisha vidhibitisho hivyo wamesema wamepata baadhi ya vidhibitisho ikiwemo cd...
Serikali imetoa tahadhari kwa madaktari nchini kuachana na mpango wao wa mgomo unaotarajia kuanza leo kwani utagharimu maisha ya watu wasio na hatia na kwenda kinyume na sheria na kiapo chao cha...
Katika moja ya mambo ambayo ninamkubali Lowasa, ni lile la kushughulikia vibanda vya biashara (viosk) vilivyokuwa vimezagaa katika jiji la Dar haswa mjini kati. Katika kamoeni hiyo, vurugu...
Mhe Pinda alimujibu Mhe Godfrey Zambi Bungeni kuwa Suala la Kahawa Mbichi , Wakulima Waachiwe wapange wao wenyewe bei ya kahawa Mbichi na wachague wenyewe ni nani wa kumuuzia !!
Zambi na...
Wanadodi,
Baada ya kutokea ubishani kuhusu kuwepo kipengele cha dini kwenye dodoso za sensa ya watu na makazi, itakayofanyika Agosti, 25 mwaka huu, naombeni tujadili kipengele cha kabila.
Kwa...
Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa...
Wakuu inaaminika ya kwamba watanzania wanaofanya kazi kwenye halmashauri zetu za miji na wilaya ndio wanaolipwa vizuri ukilinganisha na taasisi nyingine za serikali.
Kutokana na malipo kuwa...