mama ajilinda na watekaji

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
548091_374872599234238_1929228073_n.jpg


sasa watanzania hawataki mzahaa tena,huyo ni mama mwenye mguu wa kuku tayari kupambana na watekaji popote pale
 
nimejikuta nacheka mwenyewe, mbona mama mwenyewe kama vile kajisahahu kama ana silaha?
 
Jamani Bibi alikuwa anakata majani ya Ngombe porini,akasikia kuwa mkutano wa Chadema akakosa ata muda wa kurudi home na kujiandaa,.hapo alipo akitokea fisadi yeyote lazima ale nae sahani moja
 
Back
Top Bottom