Je bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itajadiliwa lini?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Poleni kwa majuku ndugu zangu! Naomba kuuliza, je bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Wizara iliyo chini ya Dr Shukuru Kawambwa itajadiliwa lini Bungeni? Nahitaji kuifuatilia ili kujua mutakabali wa Taifa kielimu.
Naomba kuwakilisha
 
Tarehe 15 hadi 16 mwezi Agosti, ni wizara ya mwisho mwisho kabla ya kuahirishwa kwa bunge hili la Bajeti maana baada ya kuwasilishwa kwa bajeti yake tar 17 itasomwa hotuba ya bajeti ya wizara ya fedha, tar 20 ni approprition bill 2012 na Tar 22 BUNGE litaahirishwa!
 
Ahsante! Nitajitahidi kufuatia, japo nitakuwa na majukumu mengi
 
Back
Top Bottom