Matatizo na kero hizi kwa wananchi hadi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo na kero hizi kwa wananchi hadi lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIBURUDISHO, Jun 30, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Heshima kwenu wakuu.
  Najiuliza maswali mengi nakoswa majibu nalileta kwenu labda mwaweza nisaidia kupata majibu.

  Hivi serikali itaendelea kuwatwisha wananchi mizigo hii mizito hadi lini inayosababishwa na watendaji wabovu wa serikali wasiowajibika kikamilifu ktk nafasi zao walizoteuliwa?

  Mbona kwa mambo mengi serikali inashindwa kuwajibika kwa wananchi wake huku ikiwa inajivunia askari wa kutuliza ghasia,basi kama muundo wa uongozi ndio huu serikali iwaajiri askari wa kutuliza ghasia kwenye kila ofisi za umma hasa ofisi za aridhi nyumba na makazi maana huko ndiko ubabe unalipotawala na hadi kufikia kuununua uwezo na uhuru wa mahakama.
   
Loading...